Mgariga
Senior Member
- Apr 1, 2011
- 178
- 63
Wakuu wote salamu zenu jamani....
Nina Camera yangu aina ya Canon imepata Mushkeli kama ifuatavyo:
1. Niki-zoom ili kupiga picha ya mbali....inatoka nyeupeeeee hakuna image ikumbukwe hapo awali nilikuwa nazoom na napata picha nzuri na angavu kutoka mbali (x14 zoom)
2. Sasa hata nikwasha screen ili niangalie picha inazima ghafla inaleta ujumbe..a camera has encountered a problem and will shut down... mwisho inaandika error - E32
===GUYS YOUR ASSISTANCE IS HIGHLY APPRECIATED===