Msaa wa kununua Laptop

dranx

Senior Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
189
Reaction score
84
Habari zenu wana jamvi
Kama kichwa kinavyosema hapo nataka kununua laptop Kwa ajili ya kujifunzia(chuo)
Laptop gani n nzuri Na zinakaa Na charge muda mrefu.
Budget yangu ni million Moja
Natanguliza shukrani zangu
 
Tafuta HP pavillion core i5 safi kabsa na graphix invidia ukiwa na storage yako ya 1TB huku ram ikisoma 8GB na processor iwe zaid ya 2.5
 
NB : hizo sifa ni za machine ninayotumia kutokana na matumiz yangu kuhitaj PC kubwa

Sijajua wewe kozi unayosom na matumiz yako yakoje
 
Tafuta HP pavillion core i5 safi kabsa na graphix invidia ukiwa na storage yako ya 1TB huku ram ikisoma 8GB na processor iwe zaid ya 2.5
Asante Kwa ushauri wako
 
Nunua HP au Lenovo ila chonde chonde usije ukashikishwa Dell. Dell ni la kuuzia Ice Cream tu si Computer.
Mkuu naomba uniambie Na model Gan ndo nzuri zaidi
 
Kwa budget ya 1 million, nenda katafute Hp au Lenovo mpya kwenye box😊😊, yenye hizi sifa;

Core i3 ambayo ni 8th au 7th generation model yoyote katika hizo brands mbili lakini iwe generation ya 7 au 8 itakufaa kwa matumizi ya chuo.
Bei yake zinarange laki 8 mpaka 1M
 
Ahsante Kwa ushauri wako
 
Tafuta HP pavillion core i5 safi kabsa na graphix invidia ukiwa na storage yako ya 1TB huku ram ikisoma 8GB na processor iwe zaid ya 2.5
Ya kwako ulinunua shilingi ngapi?
 
Habari zenu wana jamvi
Kama kichwa kinavyosema hapo nataka kununua laptop Kwa ajili ya kujifunzia(chuo)
Laptop gani n nzuri Na zinakaa Na charge muda mrefu.
Budget yangu ni million Moja
Natanguliza shukrani zangu
Andika vizuri bana Haraka ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…