Ms office inakataa ku exctract kwenye windows 10 inahitaji more volume ingawaje Kuna more than 200GB free,naombeni msaada. Nilidownload kwenye link ya bitdownload.ir
Mimi inaniambia language haitambuliki. Nilipakua kupitia www.getintopc.com.
Natumia Windows 10. Imebidi nifunge office 2010 enterprise.
Msaada niweze kuweka office 2016. Maana napata changamoto kama nataka nibebe baadhi ya kazi nifanye kwa muda wangu. Huwa inapanguka yote (formatting).
Please assist.