Umeandika point, maskini siyo watu, umaskini ni laana, maskini siyo wa kumsaidia kaa mbali na maskini wana roho mbaya wanasubiri anguko lao washerehekee km wendawazimu hawana ht aibu! Chadema lazima kirudi mikononi mwa Mbowe aliijenga kwa jasho na damu i ingawa Mbowe alikosea sana kuwaachi hao mambwa taasisi aliyoijenga!Enyi wakaidi, mrudishieni Mbowe Chama chake
Msidhani aliokota CHADEMA chini ya mwembe
Mtachagua moja kurudisha au kuendelea kusalitiwa
Maafa yanayowapata sio ya kutengenezewa bali ni laana na machozi ya Mbowe
Mbowe hakutaka kung'ang'ania CHADEMA bali alitaka kujenga msingi imara ndipo awaachie
Asante yenu ilikuwa matusi
Msidhani mtamtukana mnavyotaka ninyi na iishe juu
Mbowe sio samaki hata machozi yake yaishie baharini kanakwamba hawezi kuwalaani
Mmemtukana matusi yakila aina lakini hamkumbuki kuwa yeye ndiye aliyewajengea msingi wa mafanikio yenu ya sasa
Mlidandia treni kwa mbele sasa inawakanyaga hampaswi kulia kwasababu mliyataka wenyewe, tulieni dawa iingie taratibu kwasababu mkiruka itamwagika
Kaeni kwa kutulia kwasababu yajayo yanafurahisha
Maji mtaita mma
KafirweKagongwe
Si alishindwa uchaguzi? Au ndio mnatengeneza ajenda ili jamaa arudi kupitia mlango wa nyumaEnyi wakaidi, mrudishieni Mbowe Chama chake
Msidhani aliokota CHADEMA chini ya mwembe
Mtachagua moja kurudisha au kuendelea kusalitiwa
Maafa yanayowapata sio ya kutengenezewa bali ni laana na machozi ya Mbowe
Mbowe hakutaka kung'ang'ania CHADEMA bali alitaka kujenga msingi imara ndipo awaachie
Asante yenu ilikuwa matusi
Msidhani mtamtukana mnavyotaka ninyi na iishe juu
Mbowe sio samaki hata machozi yake yaishie baharini kanakwamba hawezi kuwalaani
Mmemtukana matusi yakila aina lakini hamkumbuki kuwa yeye ndiye aliyewajengea msingi wa mafanikio yenu ya sasa
Mlidandia treni kwa mbele sasa inawakanyaga hampaswi kulia kwasababu mliyataka wenyewe, tulieni dawa iingie taratibu kwasababu mkiruka itamwagika
Kaeni kwa kutulia kwasababu yajayo yanafurahisha
Maji mtaita mma
Na popomwitu, right?Kagongwe
Kwani ikisambaratika si ndo vizuri sisiemu mtafurahia mbona kama hamueleweki tenaIsiwe nongwa, arudishiwe tu, maana mambo yamekuwa mengi ndani ya chama hicho na amesusa. Lissu aachane na CHADEMA ina wenyewe wamemsusia na sasa wanaiyumbisha isambaratike mazima
mkudududuki weweLeo MBOWE kakufikisha kileleni umeamua Raha zote uzilete JF wewe kiazi mbatata
Utabakwa wewe legeza kalio tumkudududuki wewe
pumbavuUtabakwa wewe legeza kalio tu
Kwa hiyo wakina Yericko Nyerere na yule mwehu wa Shinyanga mjini aliyehamia ACT ndio ambao tulitakiwa kuwaamini kwamba wataipeleka Chadema mbele, hauwezi kuwa haujalewa.Enyi wakaidi, mrudishieni Mbowe Chama chake