Mafisadi wapi sasa?, Wale wa halmashauri ya Karatu au wale mapapa wenyewe
Kwani zile fedha za ruzuku alizojikopesha Dk Slaa amezirudisha?
Kwani zile fedha za ruzuku alizojikopesha Dk Slaa amezirudisha?
Mafisadi wapi sasa?, Wale wa halmashauri ya Karatu au wale mapapa wenyewe
Hii imeingiaje kwenye hii mada?Kwani zile fedha za ruzuku alizojikopesha Dk Slaa amezirudisha?
Mkuu lizaboni mwaka huu una kazi kubwa. Kupambana na Lowasa and then na ukawaKwani zile fedha za ruzuku alizojikopesha Dk Slaa amezirudisha?
Baada ya hujuma nyingi za CCM kuzuia mikutano ya CHADEMA kwa kuhofia kuibuliwa sakata la ufisadi wa pesa za maabara!!
Kesho tar 16, Jesca Kishoa ataitikisa Iramba ktk mkutano mkubwa utakaofanyika Kiomboi.
Kamanda huyu ameonekana kuwa na uwezo mkubwa wa kushawishi, uwezo mkubwa wa kujenga hoja na amekuwa akivunja ngome za mwigulu kiulaiiini, mfn, ktk mikutano yake ya Ndago na Shelui wilayani iramba, amekonga mioyo ya wananchi wengi na kutoa matumaini mapya ya kuiokoa iramba.
Ktk ngome ya mwigulu KINAMPANDA, Jesca alipokea wanachama zaidi ya 90, kati ya hao, 30 ni waliokuwa makada wa cc-emu.
Mafisadi hawana chao Oktoba.
Yaani mmechokwa, mmeishiwa hoja, yaani hadi tunatamani october iwe kesho tuwazike rasmi!Mafisadi wapi sasa?, Wale wa halmashauri ya Karatu au wale mapapa wenyewe
pesa za ruzuku dr.slaa amemjengea nyumba mchumba ake josefin mushumbusi
pesa za ruzuku dr.slaa amemjengea nyumba mchumba ake josefin mushumbusi
Mafisadi wapi sasa?, Wale wa halmashauri ya Karatu au wale mapapa wenyewe
Mafisadi wapi sasa?, Wale wa halmashauri ya Karatu au wale mapapa wenyewe
pesa za ruzuku dr.slaa amemjengea nyumba mchumba ake josefin mushumbusi
mkuu samahani kama umelala ukiamka naomba unijibu,kuna jambo nadhani sijalifahamu bado hivi ni kweli mzee wangu/babu yangu ni mchumba wa celina mshumbusi?kama jibu ndio celina akiwa na slaa nae anamuita baby?ndoa yao itakua lini labda,kama ukithibitisha haya yote ntaamini maneno yangu kua vijana wa kiume wanatafuta vijana wenzao wa kike waoane kumbe kuna mababu wanavuruga utaratibu.
Mkuu akili zako zipo kwenye wezereKwani zile fedha za ruzuku alizojikopesha Dk Slaa amezirudisha?
Karatu kuna ufisadi gani? Thibitisha!