Mrisho Ngasa mwenye magoli mengi Taifa Stars muda wote

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Ndo mchezaji mwenye magoli mengi timu ya Taifa ana magoli 25 na mchezaji namba 20 Africa kuwa na magoli mengi timu ya Taifa.
 
Mkuu hii ni kutokana na information za All African football
Kwa kutambua mchango wake na record hii nzuri... boresha uzi wako mkuu
20190606_140635.jpeg
20190606_140616.jpeg
 
Mkuu hii ni kutokana na information za All African footballView attachment 1119684View attachment 1119685
Sina maana ya kubisha mkuu.. natambua uwezo wa Ngassa toka enzi za Maximo.
Ila tu nilitaka uzi huu uwe bora, uweke nyama kama hv ili kuendelea kutambua record hii mpaka pale itakapovunjwa... Mbona nyuzi za akina PLATNUM + KIBA tunajua kuzipamba vzr.
Ni wazo tu
 
Mkuu upo sahihi,alitakiwa kuleta makala!

Nitalifanyia Kazi!
 
Back
Top Bottom