Maneno ya wanasiasa wa chama tawala unayaamini sana?Namuangalia hapa anavyoshusha taarifa ya mkoa wa Arusha.
Hana siasa anashusha nondo zinazogusa hadi wataalamu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Wataalam gani mkuu?, wa tiba asilia au
Nondo ziko wapi sasa...Namuangalia hapa anavyoshusha taarifa ya mkoa wa Arusha.
Hana siasa anashusha nondo zinazogusa hadi wataalamu.
Wewe unayaamini maneno ya wanasiasa wa chama lenu la mafisadi au ? Jikomboeni naona mmefinyangwa na maono ya mafisadi wenuManeno ya nasiasa wa chama tawala unayaamini sana?
kweli we ni jinga lao..Wewe unayaamini maneno ya wanasiasa wa chama lenu la mafisadi au ? Jikomboeni naona mmefinyangwa na maono ya mafisadi wenu