DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,357
- 83,334
These guyz ni Kuwa hawana clean hands ." Mkitaka kujua nani aliyewatendea watu ubaya nendeni dar-es-salaam mkaulize ,mkiambiwa ubaya wake mnaweza hata kumkimbia" - Chuma cha mjerumani.
Ila Gambo kaongea ukweli wote.Mrisho Gambo (MP) usilalamike wala kuumia stay strong !
That is ur karmic debt.
Mtalalauana Sana na VITA yenu haitoisha salama lazima mtajane na kuvuana nguo.
Jambo lolote baya au zuri alifanyalo MTU lazima litamrudia .
Na mbaya VITA yenu inagusa ugali wenu lazima mfikishane pabaya.
Ushauri kasome kitabu cha Robert Green 48 Law of power.
These guyz ni Kuwa hawana clean hands .
Na VITA yao ni ya ugali so mpaka anaongea hivyo , anajua kuwa hawezi kupata ubunge kirahs
Gambo na makonda ni kitu kimoja wote hawakustahili kuwa viongozi hadi muda huu Ila walibidi kuwa gerezaniIla Gambo kaongea ukweli wote.
Hata Ridhi One Kikwete alisema Makonda ni mtu wa hovyo alivosema anauza unga
VITA zao ni za kitoto Sana ni rahisi hata kuuana hawa jamaa .Sijajua BASHITE sehemu yeyote atakayekaa lazima akinukishe ,Gambo anamuweza sana DAB ndiyo maana hamfanyii umafia wowote kwasababu na yeye gambo MAFIOSO pia.
VITA zao ni za kitoto Sana ni rahisi hata kuuana hawa jamaa .
Ila Gambo ubunge hapati tena .
Dr Hayaland huyo Gambo katenda ushenzi mwingi akiwa RC. Vita na Makonda sio kubwa... ana vita ya kimyakimya na watu wengi wa Arusha aliowatendea ushenzi. Wanaompelekea moto wapo nyuma ya pazia... Makonda ni kama anatumika tu. Binafsi ninaona apelekewe moto zaidi.Mrisho Gambo (MP) usilalamike wala kuumia stay strong !
That is ur karmic debt.
Mtalalauana Sana na VITA yenu haitoisha salama lazima mtajane na kuvuana nguo.
Jambo lolote baya au zuri alifanyalo MTU lazima litamrudia .
Na mbaya VITA yenu inagusa ugali wenu lazima mfikishane pabaya.
Ushauri kasome kitabu cha Robert Green 48 Law of power.
CCM ya Arusha ina mamluki wengi wa upinzani ndo maana hali inakuwa hivyo.Gambo ni chuma cha mjerumani ndiyo maana BASHITE amebaki kupiga roporopo majukwaani kumchafua ,najua GAmbo akitemeshwa basi jimbo linaenda UPINZANI.
Watatumia ile kanuni inaitwa bora tukose wote .Gambo ni chuma cha mjerumani ndiyo maana BASHITE amebaki kupiga roporopo majukwaani kumchafua ,najua GAmbo akitemeshwa basi jimbo linaenda UPINZANI.
True Nimeandika hapo kuwa anavuna karmic debt yakeDr Hayaland huyo Gambo katenda ushenzi mwingi akiwa RC. Vita na Makonda sio kubwa... ana vita ya kimyakimya na watu wengi wa Arusha aliowatendea ushenzi. Wanaompelekea moto wapo nyuma ya pazia... Makonda ni kama anatumika tu. Binafsi ninaona apelekewe moto zaidi.
aka mbwa kala jibwa, atakayecheka wa mwisho ndio atacheka sana.Dr Hayaland huyo Gambo katenda ushenzi mwingi akiwa RC. Vita na Makonda sio kubwa... ana vita ya kimyakimya na watu wengi wa Arusha aliowatendea ushenzi. Wanaompelekea moto wapo nyuma ya pazia... Makonda ni kama anatumika tu. Binafsi ninaona apelekewe moto zaidi.
Kwa sasa hatakiwi kabisa na wajumbe wa CCM Arusha jiji. Hata system haimtaki kabisa kwa sasa.Nimeandika hapo kuwa anavuna karmic debt
Duh !!! Hapo ajiandae mapema na kujiajiri au kusambaza CV.Kwa sasa hatakiwi kabisa na wajumbe wa CCM Arusha jiji. Hata system haimtaki kabisa kwa sasa.
Hakikaaka mbwa kala jibwa, atakayecheka wa mwisho ndio atacheka sana.
Gambo ana uhafadhali.Gambo na makonda ni kitu kimoja wote hawakustahili kuwa viongozi hadi muda huu Ila walibidi kuwa gerezani
Gambo pia kaumiza Sana watuGambo ana uhafadhali.
Makonda ndio "Fuckin"
Kaumiza sana watu