Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,357
- 100,373
Sijakataa ila kwanini aseme Leo? Tutaaminije maneno yake? Je, kama aliweza kugeuka na kuyasema haya, tunajua kesho atasema nini? Kelele zake hazisaidii tenaLakini ameongea ukweli mtupu
Unasahau kuwa Makonda alikuwa na nguvu kupita Samia na Majaliwa?Sijakataa ila kwanini aseme Leo? Tutaaminije maneno yake? Je, kama aliweza kugeuka na kuyasema haya, tunajua kesho atasema nini? Kelele zake hazisaidii tena
Naam Mpwa, ila wamechagua kukaa kimya! Ila nakuelewa, wacha wavuane nguo kwanza, sisi tule popcornUnasahau kuwa Makonda alikuwa na nguvu kupita Samia na Majaliwa?
Hapana, yeye anadai aliendeshwa na junior, rais sio junior kwa RCYupo sahihi kwa upande wake, Magu na yeye alikuwa sahihi kwa hiyo style yake ya utendaji, mkuu wa mkoa sio raisi wa mkoa, anaweza kuendeshwa na Raisi vile impendezavyo raisi.
DAH BEST UKO SAHIHI SANA, DHULUMA ALIYOFANYIWA LEMA NA KUKAA KISONGO KWA MDA MREFU UKU DHAMANA ZAKE ZIKIFANYIWA UHUNI ILIKUWA IKIRATIBIWA NA GAMBO.Kama kuna mambo yanachukiza basi ni huu unafiki wa kiwango cha SGR. Moderator naomba msifute.
Hivi karibuni huyu kijana ameonekana "akijaribu" kwa kiwango kikubwa sana kujitenganisha na Utawala katili na dhalimu wa Magufuli, kitu ambacho hakijui ni kwamba hawezi kukwepa sehemu udhalimu huo.
Jana alisikika "akikandia" uporwaji wa Bureaus uliofanywa na serikali ya Magufuli huku yeye akiwa Mkuu wa Mkoa husika na akakaa kimya kwa wakati huo! Jana anadai kuwa kitendo hicho hakikua cha kibidamu.
Leo ameibuka tena baada ya watu wenye akili kuhoji kauli zake hizo, Leo anadai kuwa UTAWALA ule haukumpa nafasi yeye kama RC kutenda haki na majukumu yake yalitekelezwa na "Junior" wake kwa kisingizio cha "maelekezo kutoka juu".
Namkumbusha Gambo kuwa, hata huo Ubunge alionao Leo hapo anajua fika kuwa hakustahili kuwepo hapo, hivyo namshauri AJENGE HOJA aache kutukumbusha machungu ya ndugu zetu waliofilisiwa na Utawala dhalimu wa mwendazake
Hujanielewa point yangu ya msingi, raisi anaweza mtumia mtu yeyote chini ya RC kumuendesha RC.Hapana, yeye anadai aliendeshwa na junior, rais sio junior kwa RC
Ameongea ukweli, wala sio unafikiKama kuna mambo yanachukiza basi ni huu unafiki wa kiwango cha SGR. Moderator naomba msifute.
Sawa ila naona Kama Ana akili Ni Bora akae kimya.Unasahau kuwa Makonda alikuwa na nguvu kupita Samia na Majaliwa?
Ahaaaa, sasa hapo ndio Gambo angejiuzulu kwa sababu zozote zile then Leo ndio tungemuelewaHujanielewa point yangu ya msingi, raisi anaweza mtumia mtu yeyote chini ya RC kumuendesha RC.
Tumtie moyo aendelee kumwaga sukari...kazi yetu kulamba tuNaam Mpwa, ila wamechagua kukaa kimya! Ila nakuelewa, wacha wavuane nguo kwanza, sisi tule popcorn
Kaka we ni mgeni Africa nn!!! Hayo mambo ya kizungu tunayaweza sisi?Ahaaaa, sasa hapo ndio Gambo angejiuzulu kwa sababu zozote zile then Leo ndio tungemuelewa