Mrembo wa leo

before mchina alikuwa mrembo kweli.
 
huyu si ndo aliwekewa sumenti? dah, kuna watu wana akili ndogo walahi..
 
Mhh tumeshayazoea kuyaona lakini mbona wachina hawana ya hivi
 
Ameweka makaratasi nyuma. Kama huamini angalia 'usafiri'. Ratio ya nyuma na usafiri haijakaa sawia.
 
Mbona anafanana na Joti wa ze comedi original
 
Huyu ni mlemavu, hawezi kuwa na mzigo wote huo umebebwa kwny paja la broiler!
 
mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
si nzuri hata kidogo
 
huyu si ndio yule bint tiny model wa kimarekani aliyetumia zaidi ya milioni 800 kubadilisha huwo mzigo alio ubeba hii shida sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…