Mrembo wa Bongo katika Pozi

Mimi mpaka nione na mtindi wake ndio nitoe comment yangu.
 
Halafu matonya hawa! Kila siku lazima kapate mshuruba ndo kaishi!
 
Hakuna cha mtoto hapo... Hakina tena raha kwani kuna usugu wa kufa mtu. Maskini wazazi wake na jamii inayomzunguka.
 
ana miaka chini ya kumi na nane ana miakaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...
 
Jamani mwenzenu suruali haitoshi! Ngoja nishomoe shati nisije nikaaibika bure. Sielewi nimefikajefikaje hapa!
 
usupestar bwana khaaa noma yeye kajiona katoka kumbe ovyooo ila sura inalipa but mhhhhh sisemi wajanja wa mji wameshachakachua vya kutosha
 
Mbona ka kawaida sana... Uswahilini huku kama hivyo ni vingi sana.
 

kuna nyingine ya cindy ambayo umeacha ambayo ndiyo ilkuwa ikae katika jukwaa hili. ukifungua 'click' picha ya Lulu utaiona inakuja, ituwekee hapa mimi nimeshindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…