RAGNAR LOTH JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 698 Reaction score 1,589 Aug 8, 2017 #261 Maserati : Exposure gani unayoipa appreciation ktk maisha yako kwamba bila hiyo usingekuwa hapo ulipo.?
Maserati : Exposure gani unayoipa appreciation ktk maisha yako kwamba bila hiyo usingekuwa hapo ulipo.?
RAGNAR LOTH JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 698 Reaction score 1,589 Aug 8, 2017 #262 Maserati : Nini mchango wa watu wako wa karibu katika maisha yako, wana mchango wowote katika kukuvusha hatua nyingine ya juu zaidi kimaisha.?
Maserati : Nini mchango wa watu wako wa karibu katika maisha yako, wana mchango wowote katika kukuvusha hatua nyingine ya juu zaidi kimaisha.?
RAGNAR LOTH JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 698 Reaction score 1,589 Aug 8, 2017 #263 Maserati : Mahusiano yako yamechangia kwa namna yeyote kukurudisha nyuma kimaisha? Kama ndiyo kivipi ?
Maserati : Mahusiano yako yamechangia kwa namna yeyote kukurudisha nyuma kimaisha? Kama ndiyo kivipi ?
RAGNAR LOTH JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 698 Reaction score 1,589 Aug 8, 2017 #264 Maserati : Lipi chimbo lako la kuongeza maujanja ya kimaisha unaloliamini ? Je ni wazazi, marafiki, social media, vitabu, or what the hell it is.?
Maserati : Lipi chimbo lako la kuongeza maujanja ya kimaisha unaloliamini ? Je ni wazazi, marafiki, social media, vitabu, or what the hell it is.?
RAGNAR LOTH JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 698 Reaction score 1,589 Aug 8, 2017 #265 Maserati : Jinsia yako inakusaidiaje kuingiza mkwanja?
RAGNAR LOTH JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 698 Reaction score 1,589 Aug 8, 2017 #266 Maserati : Career uliyoisomea inachangia % ngapi kwenye monthly income yako? Umeajiriwa / umejiajiri/ multipurpose.?
Maserati : Career uliyoisomea inachangia % ngapi kwenye monthly income yako? Umeajiriwa / umejiajiri/ multipurpose.?
RAGNAR LOTH JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 698 Reaction score 1,589 Aug 8, 2017 #267 Maserati : Tupe ratiba yako ya week nzima.
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,371 Aug 8, 2017 #268 Maswali yanahusu ngono tu.
RAGNAR LOTH JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 698 Reaction score 1,589 Aug 8, 2017 #269 Maserati : Unaongea lugha ngapi? ( Ulishawahi nitusi kwa kireno kama sio kiispaniola ), ulijifunza vipi, na zinakusaidiaje ?
Maserati : Unaongea lugha ngapi? ( Ulishawahi nitusi kwa kireno kama sio kiispaniola ), ulijifunza vipi, na zinakusaidiaje ?
RAGNAR LOTH JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 698 Reaction score 1,589 Aug 8, 2017 #270 Maserati : Ulikutana wapi na jamaa uliyenae? Katika mazingira gani.? Umemzidi kipato/ amekuzidi? ( kama personal usijibu)
Maserati : Ulikutana wapi na jamaa uliyenae? Katika mazingira gani.? Umemzidi kipato/ amekuzidi? ( kama personal usijibu)
RAGNAR LOTH JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 698 Reaction score 1,589 Aug 8, 2017 #271 Maserati : Ipi ni priority yako ya kwanza kuangalia kwa mwanamume anayekutongoza., Kwamba bila hiyo ameula wa chuya. Na kwa nini hicho kigezo?
Maserati : Ipi ni priority yako ya kwanza kuangalia kwa mwanamume anayekutongoza., Kwamba bila hiyo ameula wa chuya. Na kwa nini hicho kigezo?
RAGNAR LOTH JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 698 Reaction score 1,589 Aug 8, 2017 #272 Maserati : Unaweza kudate na mwanamume uliyemzidi umri?
gentlemanx JF-Expert Member Joined Jun 21, 2015 Posts 2,375 Reaction score 7,217 Aug 8, 2017 #273 cute b said: Nitume tuu. Kaniboa sana. Kama anataka amtongoze aende PM, Siyo maswali ya kutiana nye.ge. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Dooh
cute b said: Nitume tuu. Kaniboa sana. Kama anataka amtongoze aende PM, Siyo maswali ya kutiana nye.ge. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Dooh
mashoodjr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2016 Posts 2,222 Reaction score 1,512 Aug 8, 2017 #274 Kuna haja ya kupekeka hawa wana be Journalist wa jf kwenye kozi fupi ya Journalism maana maswali yenyewe ya kitoto.
Kuna haja ya kupekeka hawa wana be Journalist wa jf kwenye kozi fupi ya Journalism maana maswali yenyewe ya kitoto.
DJ SEPETU JF-Expert Member Joined Apr 17, 2017 Posts 8,413 Reaction score 12,338 Aug 8, 2017 Thread starter #275 RAGNAR LOTH said: Njoo jibu maswali huku mmejificha wapi na huyo muosha rungu au ndo mnaoshana marungu.? Click to expand... Eee! Sent using Jamii Forums mobile app
RAGNAR LOTH said: Njoo jibu maswali huku mmejificha wapi na huyo muosha rungu au ndo mnaoshana marungu.? Click to expand... Eee! Sent using Jamii Forums mobile app
DJ SEPETU JF-Expert Member Joined Apr 17, 2017 Posts 8,413 Reaction score 12,338 Aug 8, 2017 Thread starter #276 RAGNAR LOTH said: Njoo jibu maswali huku mmejificha wapi na huyo muosha rungu au ndo mnaoshana marungu.? Click to expand... Anakuja punguza hasira Sent using Jamii Forums mobile app
RAGNAR LOTH said: Njoo jibu maswali huku mmejificha wapi na huyo muosha rungu au ndo mnaoshana marungu.? Click to expand... Anakuja punguza hasira Sent using Jamii Forums mobile app
RAGNAR LOTH JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 698 Reaction score 1,589 Aug 8, 2017 #277 Maserati : Unamkubali nani uchaguzi wa kenya wewe shabiki wa siasa kama ulivyojinasibu.? Unahisi upande upi utaibuka kidedea?
Maserati : Unamkubali nani uchaguzi wa kenya wewe shabiki wa siasa kama ulivyojinasibu.? Unahisi upande upi utaibuka kidedea?
NITATOA USHUHUDA JF-Expert Member Joined Jul 6, 2017 Posts 757 Reaction score 730 Aug 8, 2017 #278 WA MKOANI AU WA DAR?
RAGNAR LOTH JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 698 Reaction score 1,589 Aug 8, 2017 #279 Maserati : Tutajie Sera moja ya mgombea unayemkubali kwenye Kampeni zilizoisha jana huko kenya.
RAGNAR LOTH JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 698 Reaction score 1,589 Aug 8, 2017 #280 Maserati : Maamuzi yapi ya Mkulu yaliyokugusa moja kwa moja kukuumiza au kukufurahisha .?