Mrembo akifanya yake.

Design ya locomotive engine! linaanza poolee poolee! likishika kasiii.... toka njia haraka... breki yake kuuullleee! hoi!
 
Mi mwenyewe napenda mi dem ya hivyo
 
Hivyo ndo vitu vyetu. Wembamba tupa kule !! Hongereni !!
 
uzuri wa hiyo ligi ukiwa mfungaji mzuri wa mabao unapewa kila kitu maana usajili wa wachezaji kwenye hiyo timu ni mgumu sana
 
Post zote wanasapoti point, nami nasapoti hivyohivyo japo sijui chochote... Ila hii mitihani... mnasababisha tufanye majaribio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…