Mrema: Kufukua makaburi ya Kikwete na Mkapa ni kuisambaratisha nchi

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Mwenyekiti wa bodi ya Parole na mwanasiasa mkongwe nchini, Agustino Lyatonga Mrema amesema kuwa na umoja wa kitaifa kuna watu tunatakiwa kuwaheshimu
Watu hao ni Rais wa nchi na marais wastaafu, marais wastaafu ni sawa na rais wa nchi
Na kuanza kuwachokonoa marais hawa juu kwa kisingizio cha mchanga wa dhahabu kutaismabaratisha nchi

Amwashangaa wabunge wanaowasema marais hawa juu ya masuala ya mchanga na kusema wanachochea uasi
Ameendelea kusema kuliko nchi isambaratishwe ni bora bunge livunjwe na uchaguzi ufanywe tena na wananchi wachague wabunge wengine

Amempongeza Rais Magufuli kwa ujasiri wake kwani licha ya kuwaita Acacia wezi wamekodi ndege na kuja nchini na kauihidi kulipa

 
Kuna wakati huyu mzee huwa anamwaga point tupu haswa kwenye maswala ya kitaifa..big up mzee..wa inji hii.
 
23bd15e596dd0864689b901221bc7b5c.jpg


Akulipe nani??
 
Mzee katupa jiwe gizani. Unapoanza kuwa na nia ya kuwahoji former AGs na mawaziri wa Nishati na Madini ili wasaidie kusema what happened during those days maana yake ni kuwachokonoa maRais wa zamani. Kuna mengi yanaweza kufumuka na ndio kufukua makaburi huko.

JPM huenda alikuwa na nia njema ila keshagundua hili halitawaacha salama akina Mkapa na JK. Ndo maana sasa wanatumia nguvu kubwa kujaribu kufanya damage control (fungia Mawio na mikwara mingine kibao). Haitoshangaza kama akina Chenge hawatohojiwa.
 
Mbona Rais Wa Ghana Jerry Rewing Aliwaua Watangulizi Wake Watatu Na Maofisa Kadhaa Wa Kijeshi Tuhuma Zikiwa Ni Ufisadi Na Kuipindua Serikali Ya Kwame Nkruma Aliitisha Uchaguzi Akashindwa Akarudi Jeshini Alipoona Tena Ufisadi Umezidi Akampindua Tena Boss Wake Na Yeye Kushika Madaraka Kwa Hiyo Mrema Dawa Ya Bwm Na Jk Ni Wa Kunyongwa Mpaka Kufa Na Kizazi Chao Mabadiliko Yana Gharama
 
Haaha ila kuna mambo jamani yanashangazaa sana kama kuwachokonoa maraisi kisa mchanga haiwezekani basi hata mawaziri wao wakipind icho na mwanasheria mkuu piA waachwe there is no way hao waukumiwe maboss wao wasisemwe tena kwene swala la mikataba.... Ni uongo na unafki tu bora wote waachwe (collective responsibility)
 
Back
Top Bottom