hajafanya chochote cha ajabu... madudu katika serikali za mitaa ni makubwa kiasi kwamba hata kipofu anayaona. watu wameconcentrate na ufisadi kwenye serikali kuu wakati kuna watu wametamalaki kwenye serikali za mitaa na wanajilia nchi taratibu. kwa sababu wka muda mrefu watu hawa wamekuwa wakila bila kufuatiliwa na yeyote, wamefikia hatua wamejisahau kiasi kwamba sasa hawana hata kificho kwenye wizi wao. wala aihitaji uchawi wowote kugundua wizi wao na zali alokutana nalo Mrema. Akiwa makini na nafasi aliyonayo Bungeni atatoka tena kisiasa maana hatoshiwa na mabomu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.