Ebu mnisaidie uelewa; Kwani wabunge hao wamevuliwa uongozi au wamekataliwa kugombea uongozi ndani ya ccm tu? Maana magazeti niliyosoma yote hayajaonyesha kuwa wamesimamishwa uanachama, bali wamekatazwa kugombea uongozi ndani ya ccm kama walivyokuwa wanataka. .... Naomba ufafanuzi