runtown
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 844
- 1,169
Baada ya mpenz wangu kupelekwa polis nilikuja kugundua hakulala central aliachiwa akarudi hom.
Ila bado kesi inaendelea na hajataka kunitaja kabisa.
Sasa mm kwenye harakati za kutafuta kazi ili niyajenge nikubalike kwe familia yao kuna mshkaji nimeongea nae sasa chating zake ni kama mchicha mwiba wadau nisaidien mawazo no docto wa hospital x mkoani morogoro
Ndege joni njoo nisaidie kumtambua huyu jamaa maana we mzoefu
Sent using Jamii Forums mobile app