Mrejesho wa ndoa ya Dec 9

MENISON

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
726
Reaction score
623
Hatimaye nimefanikiwa kufunga ndoa, nawashukuru kwa mlionishauri humu.
Niliwahi kuandika uzi wa kutaka kufunga ndoa bila sherehe, nashindwa kuuqoute hapa.
 
Umefungaje hiyo ndoa si utupatie udambwi udambwi na sisi tujue una roho mbaya Msomali
 
aya tupe mrejesho wa mchakato ulivyoenda na cc tupate moja mbili tatu
 
Tupe mbinu ulizotumia mkuu, watu tumeshajiandaa sana ila tukiwazia sherehe mpaka pozi linaisha.

Mzee, watu tunakiu ya kuishi wawili wawili. Toa mbinu uloitumia kufanikisha hilo ili tuanze kutafuta wachumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…