mfuga kuku
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 851
- 667
😂😂😂 daah kama nafasi ya kaziKwa hiyo wale waliokosa nafasi hii msikate Tamaa wanaume sisi bado tupo! na tuko seriously na mahusiano ili kuleta utulivu na Amani ya Moyo.
Ahsanteni wote.
Habari wandugu!
Kwa heshima kubwa naomba kutoa mrejesho wa mada yangu niliyoibandika jukwaa hili la kuhitaji Mwanamke wa kuanza nae Mahusiano mapya, kiukweli wengi walikuja in box karibia wanawake 18.
Lakini kama mjuavyo lazima apatikane mmoja na nimebahatika kupata Mwanamke ambae Mungu akijaalia atakuwa mke wangu rasmi wa Ndoa wala sihitaji kumchezea! niliyempata tayari mahusiano yake ya Awali alibahatika kuwa na watoto watatu.
Ana umri wa miaka 48, Kwa hiyo wale waliokosa nafasi hii msikate Tamaa wanaume sisi bado tupo! na tuko seriously na mahusiano ili kuleta utulivu na Amani ya Moyo.
Ahsanteni wote.
Nami nimeridhika nae kabisa! ni wife material, unaweza kupata cha miaka 28 au 30 lkn ikawa stress tupu.48 yrs
Sahihi mkuu Kama umeridhika nae n vyema ikawe heri kwenuNami nimeridhika nae kabisa! ni wife material, unaweza kupata cha miaka 28 au 30 lkn ikawa stress tupu.
Ahsante Sana brother.Sahihi mkuu Kama umeridhika nae n vyema ikawe heri kwenu
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Soon utakuja na uzi mwingine, yaani verry soonniliyempata tayari mahusiano yake ya Awali alibahatika kuwa na watoto watatu.
Naunga hojaMkuu uwe unaeka na screenshot kama ushahidi,
Ukapimwe akili wewe, sidhani kama utapata mtoto hapo, kwanza utakuta kashaishiwa utamu wote.Nami nimeridhika nae kabisa! ni wife material, unaweza kupata cha miaka 28 au 30 lkn ikawa stress tupu.
Kupata mtoto itakua si kipaumbele cha mtoa mada mana tayari ana watoto kwa mke wake mkubwaUkapimwe akili wewe, sidhani kama utapata mtoto hapo, kwanza utakuta kashaishiwa utamu wote.