Saad30 JF-Expert Member Joined May 26, 2020 Posts 3,205 Reaction score 6,276 Apr 8, 2024 #1 Habari wakuu. Pesa yangu 120000 iliyotumwa kimakosa kwenye Lipa namba ya VODACOM 5757565 tarehe 28 mwezi wa jana,nimefanikiwa kuipata. Pongezi kwa Mtandano wa VODACOM na Tigo kwa kufanya kazi yenu. Hakika Haki ya Mtu haipotei.
Habari wakuu. Pesa yangu 120000 iliyotumwa kimakosa kwenye Lipa namba ya VODACOM 5757565 tarehe 28 mwezi wa jana,nimefanikiwa kuipata. Pongezi kwa Mtandano wa VODACOM na Tigo kwa kufanya kazi yenu. Hakika Haki ya Mtu haipotei.
M Mufti kuku The Infinity JF-Expert Member Joined Sep 21, 2019 Posts 6,904 Reaction score 12,194 Apr 8, 2024 #2 Uzi tyr
mongoli JF-Expert Member Joined Feb 25, 2024 Posts 734 Reaction score 1,742 Apr 8, 2024 #3 Tuma kitu kidogo mkuu hali mbaya..
Saad30 JF-Expert Member Joined May 26, 2020 Posts 3,205 Reaction score 6,276 Apr 8, 2024 Thread starter #4 mongoli said: Tuma kitu kidogo mkuu hali mbaya.. Click to expand... Uskonde Mzee wangu siku ni moja.
mongoli JF-Expert Member Joined Feb 25, 2024 Posts 734 Reaction score 1,742 Apr 8, 2024 #5 Saad30 said: Uskonde Mzee wangu siku ni moja. Click to expand... Duuh
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 15,888 Reaction score 36,271 Apr 8, 2024 #6 Hili nalo la kuanzishia uzi?
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,718 Reaction score 126,564 Apr 8, 2024 #7 Lavit said: Hili nalo la kuanzishia uzi? Click to expand... Inabidi tumuulize process alizopitia hadi aipate, tunaweza kujifunza kitu Kwako mleta mada..
Lavit said: Hili nalo la kuanzishia uzi? Click to expand... Inabidi tumuulize process alizopitia hadi aipate, tunaweza kujifunza kitu Kwako mleta mada..
Clarity JF-Expert Member Joined Jul 6, 2010 Posts 1,939 Reaction score 2,847 Apr 8, 2024 #8 Tunamshukuru Mama Kwa kuwezesha mwenzetu kurudishiwa fedha zake
Saad30 JF-Expert Member Joined May 26, 2020 Posts 3,205 Reaction score 6,276 Apr 8, 2024 Thread starter #9 Lavit said: Hili nalo la kuanzishia uzi? Click to expand... Ndio mkuu bila wasiwasi
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,117 Reaction score 1,249,282 Apr 8, 2024 #10 Nice
Saad30 JF-Expert Member Joined May 26, 2020 Posts 3,205 Reaction score 6,276 Apr 8, 2024 Thread starter #11 Mwifwa said: Inabidi tumuulize process alizopitia hadi aipate, tunaweza kunifunza kitu Kwako mleta mada.. Click to expand... Njia ni rahisi Sana. Nilitumia kuongea nao kwa namba 100 alafu nikaona haitoshi nikatumia kuwasiliana nao kupitia What'saap. Na Leo hii asubuhi wakaingiza pesa yangu 120000. Inabidi uwe hasira na pesa yako. Tuschukulie poa kwenye mambo ya hela.
Mwifwa said: Inabidi tumuulize process alizopitia hadi aipate, tunaweza kunifunza kitu Kwako mleta mada.. Click to expand... Njia ni rahisi Sana. Nilitumia kuongea nao kwa namba 100 alafu nikaona haitoshi nikatumia kuwasiliana nao kupitia What'saap. Na Leo hii asubuhi wakaingiza pesa yangu 120000. Inabidi uwe hasira na pesa yako. Tuschukulie poa kwenye mambo ya hela.
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,718 Reaction score 126,564 Apr 8, 2024 #12 Saad30 said: Njia ni rahisi Sana. Nilitumia kuongea nao kwa namba 100 alafu nikaona haitoshi nikatumia kuwasiliana nao kupitia What'saap. Na Leo hii asubuhi wakaingiza pesa yangu 120000. Inabidi uwe hasira na pesa yako. Tuschukulie poa kwenye mambo ya hela. Click to expand... Sawa mkuu, Ahsante kwa muongozo
Saad30 said: Njia ni rahisi Sana. Nilitumia kuongea nao kwa namba 100 alafu nikaona haitoshi nikatumia kuwasiliana nao kupitia What'saap. Na Leo hii asubuhi wakaingiza pesa yangu 120000. Inabidi uwe hasira na pesa yako. Tuschukulie poa kwenye mambo ya hela. Click to expand... Sawa mkuu, Ahsante kwa muongozo
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,106 Reaction score 111,768 Apr 8, 2024 #13 mtandao wenyewe unaringa haupo hata jf tuutag
Saad30 JF-Expert Member Joined May 26, 2020 Posts 3,205 Reaction score 6,276 Apr 8, 2024 Thread starter #14 Half american said: mtandao wenyewe unaringa haupo hata jf tuutag Click to expand... Hahahahaha inabidi waje tu mkuu
Half american said: mtandao wenyewe unaringa haupo hata jf tuutag Click to expand... Hahahahaha inabidi waje tu mkuu
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,106 Reaction score 111,768 Apr 8, 2024 #15 Saad30 said: Hahahahaha inabidi waje tu mkuu Click to expand... Waje kwenye hili jukwaa kubwa Afrika mashariki
Saad30 said: Hahahahaha inabidi waje tu mkuu Click to expand... Waje kwenye hili jukwaa kubwa Afrika mashariki
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,059 Reaction score 185,356 Apr 8, 2024 #16 Inapendeza... Cc: Mahondaw
Saad30 JF-Expert Member Joined May 26, 2020 Posts 3,205 Reaction score 6,276 Apr 8, 2024 Thread starter #17 Half american said: Waje kwenye hili jukwaa kubwa Afrika mashariki Click to expand... Kabisa inabidi waje ila naamini wanapitia humu kimya kimya
Half american said: Waje kwenye hili jukwaa kubwa Afrika mashariki Click to expand... Kabisa inabidi waje ila naamini wanapitia humu kimya kimya
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 23,264 Reaction score 28,423 Apr 8, 2024 #18 Lavit said: Hili nalo la kuanzishia uzi? Click to expand... Hii ni taarifa kuwa ukifuatilia baada ya pesa yako kuchukuliwa na wajanja unaweza kuipata kupitia mitandao husika. Labda nimuongezee uzi ili mtosheke kwa kutoa pongezi kwa mama kufanikisha pesa kurudishwa.
Lavit said: Hili nalo la kuanzishia uzi? Click to expand... Hii ni taarifa kuwa ukifuatilia baada ya pesa yako kuchukuliwa na wajanja unaweza kuipata kupitia mitandao husika. Labda nimuongezee uzi ili mtosheke kwa kutoa pongezi kwa mama kufanikisha pesa kurudishwa.
residentura JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 9,531 Reaction score 13,461 May 16, 2024 #19 Clarity said: Tunamshukuru Mama Kwa kuwezesha mwenzetu kurudishiwa fedha zake Click to expand... Mama gani sasa, maana wapo wengi. Inawezekana ikawa Pindi Chana ndiye kafanikisha.
Clarity said: Tunamshukuru Mama Kwa kuwezesha mwenzetu kurudishiwa fedha zake Click to expand... Mama gani sasa, maana wapo wengi. Inawezekana ikawa Pindi Chana ndiye kafanikisha.
Saad30 JF-Expert Member Joined May 26, 2020 Posts 3,205 Reaction score 6,276 May 16, 2024 Thread starter #20 residentura said: Mama gani sasa, maana wapo wengi. Inawezekana ikawa Pindi Chana ndiye kafanikisha. Click to expand... Lamama Samia
residentura said: Mama gani sasa, maana wapo wengi. Inawezekana ikawa Pindi Chana ndiye kafanikisha. Click to expand... Lamama Samia