Mrejesho wa kutafuta mchumba

Yawezekana sikua serious kwenda makwao ni kuwapima tuu lkn reaction zao zina walakini unajua kabisa something fishy mkuu kuwa mpembuzi
Nimekujibu kama kijana na mwanaume. Unavyosema hukua serious hiyo sasa ni mada nyingine
 
Salamu, Inna.

Pendo ni kama mti usio na kinyongo. Popote hujiotea, katu halichagui pa kuotea. Huwezi, siwezi kujua. Pengine humu ndimo kulimo mlango wa ubavu wake.

Hongera ndugu, ngoja nifanye bidii niwe na utamaduni wa kukufuatilia kwa nyuma. Huenda nikaokota mnofu. Si unajua mbwa mtembea bure si sawa na mbwa mkaa bure?.

Maneno yako mara nyingi ni mazima.
 
hahahahaa ...salamu kwako pia[emoji8] [emoji8] [emoji8]

nakufuatilia pia kwa ukaribu zaidiiii
 
Ndo maana nasitasita kupga hod
 
Zama pm ukajiopolee mke bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…