Mrejesho wa kutafuta mchumba

Usikate tamaa,hakuna mafanikio rahisi hivyo unavyofikiria,endelea kujaribu mpaka atapatikana na ukisema kuwa umeshiba basi ujue utaendelea kuwa single forever..
 
Jf ni jukwaa huru mkuu. Nimeleta hapa ili kuwafunza watu waache utapeli wale woote niliowaandika inaonesha ni wachumba na waume za watu sasa mimi niliwaambia natafuta hawara? Mkuu vipi tunapangiana hisia au?
Kama si kutunga, wataje kwa majina hapa. Si kuweka kistori chako ili kinoge
 
Dem mbaya siwezi mleta nyumbani kwangu.. ...wanaume tunapenda kuwaleta madem wazur pekee nyumbani.....DEM mbaya lazma nimpe sababu nyingi....
Madem wabaya asilimia kubwa tunamalizana nao gest.
Wenda ukawa ni mwanamke mbaya usie na mvuto. Jichunguze
 
Kwa kuongezea wengi wa hao wanaotoa matangazo ya kuwa wanatafuta wanaume wa kuwaoa, ni wanaume. Huwa najiuliza kwa kweli mwanaume uliyekamilika unaweza ukajifanya kuwa wewe ni mwanamke? Itakuwa kuna tatizo.
 
Jf ni jukwaa huru mkuu. Nimeleta hapa ili kuwafunza watu waache utapeli wale woote niliowaandika inaonesha ni wachumba na waume za watu sasa mimi niliwaambia natafuta hawara? Mkuu vipi tunapangiana hisia au?
Wewe ulikuwa unatafuta mchumba au kuwafunza watu?! Acheni upuuzi huo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…