Namshakende
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 852
- 2,215
Unahisi yupo humu?Siku za hivi karibuni nilishirikisha hapa kisa changu kuhusu changamoto niliyopitia na mwanamke niliyekuwa naye kwenye mahusiano.https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/2333968/ Tulikuwa tumeishi pamoja kwa muda, lakini tabia zake ziliniletea msongo wa mawazo na maumivu ya kihisia. Kwa bahati mbaya, mgogoro wetu ulifikia hatua ya kulumbana na mvutano mkali uliosababisha vurugu ( kichapo).
Baada ya tukio hilo, alikusanya vitu vyake na kurudi kwa mama yake. Jana amenitumia ujumbe akidai hajapata siku zake, na ana hofu kuwa huenda ni mjamzito. Akanitaka nitoe msimamo wangu kuhusu hali hiyo.
Msimamo wangu uko wazi: Kama hiyo mimba ipo, nitaitunza akiwa kwao. Mtoto akizaliwa, nitamchukua na kumpa malezi anayostahili. Lakini kuhusu yeye, safari yake kwenye maisha yangu imeishia hapo.
Sina muda wa kulea mtu mzima asiyeheshimu wala kuelewa thamani ya mwanaume. Mwanaume naye ni binadamu, ana moyo, ana mipaka. Usifikirie kila siku ni wewe tu unapaswa kuhurumiwa. Kuna wakati mtu anafunga kitabu na kusema imetosha!
Nimepigiwa simu na upande wa kwao, lakini nimewaambia kuwa nipo busy na shughuli zangu. Wamsikilize binti yao chochote atakachosema kina ukweli ndani yake. Sina muda wa kujadiliana nao, wajadiliane na mtoto wao.
Mimi najielekeza kwenye maisha yangu mapya.
Acha kushauri ujinga mkuu. Second chance ya Mwanamke ni kutafuta mwingine. Mungu kawaumba wengi kwa maana. Kamwe mwanamke mmoja asikusumbueUnaweza kumpa second chance kwa conditios fulani,since amesema ana kiumbe chako tumboni.
Huenda huyo ndio mpango wa Mungu.
Binadamu si wakamilifu tuna mapungufu
Utabadilisha wangapi? Vimeo tupu hao watu, usishindane ma ulipotokeaAcha kushauri ujinga mkuu. Second chance ya Mwanamke ni kutafuta mwingine. Mungu kawaumba wengi kwa maana. Kamwe mwanamke mmoja asikusumbue
Kila mwenye macho asome hapa na roho mtakatifu imuongoze kuelewa hizi sentensi kwa kina......KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
Ila kumtomba ulikua unamtomba?Sina muda wa kulea mtu mzima asiyeheshimu wala kuelewa thamani ya mwanaume. Mwanaume naye ni binadamu, ana moyo, ana mipaka.
Umemtomba weeee tangu chuchu zipo mwiba saa 6 sasa unaona chuchu lishakua ndala 12 jioni unamtia mangumi umemchoka unamtimua aende kwao kisa chuchu yebo tako hana si ndio?Mwanaume naye ni binadamu, ana moyo, ana mipaka. Usifikirie kila siku ni wewe tu unapaswa kuhurumiwa. Kuna wakati mtu anafunga kitabu na kusema imetosha
Muhimu ni kukataa ndoa.Utabadilisha wangapi? Vimeo tupu hao watu, usishindane ma ulipotokea
Utakwepa matatizo ya afya ya akili utayavaa matatizo ya afya ya mwiliKuliko kupata matatizo ya afya ya akili au kuishia kuuana bora ubadirishe hata mia. Wapo wengi sana kwa sababu
Hapa umetoa jibu kama ulikuwepo kichwani kwangu.Wamsikilize binti yao chochote atakachosema kina ukweli ndani yake.