Mrejesho:Unafki wa USA&Israel ,..Israel na USA ndio wanawafuga ISIS ,na kidogo saudia

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,476
4,448
September mwaka jana nilitoa thread kuelezea unafki wa Israel&USA,fungua usome upate mwangaza na faida




USA&ISRAEL na unafiki wao uliokithiri


Kwa nyakati tofauti former Israel defence minister alisema hataki kuona Isis kuwa defeated sababu hao sio maadui zao na defence minister wa sasa akatoa maneno mengi kuhusu suala la Syria crisis kwa matamshi yale nikayaweka kichwani na akilini kusubiri muda muafaka ufike na Mungu sio athumani baada ya miezi kadhaa baada ya matamko Yale kutolewa na viongozi waandamizi wa Israel mnamo mwezi September 2016 ndege ya Israel iliingia kwenye space ya syria na taarifa zilitolewa na maofisa wa Syria kuwa walitungua ndege ile japo Israel walikanusha kutunguliwa kwa ndege yao.

Nakumbuka nilihoji kwenye thread ile ambayo nimeiambatanisha hapo juu kwanini Israel anaingilia suala la Syria ,kwanini aingie ndani ya Syria kwa mantiki ipi mpaka wakagombana na maofisa wa Assad.

Pia nikaelezea kwa kirefu kabla ya Urusi kuingia Syria na kutuliza mambo alikuwepo USA ambaye baada ya kuvuruga mambo akajidai kusolve Yale matatizo kwa kuwapiga Isis nk lakini ilichukua miaka 5 Isis walishikilia miji mikubwa na sehemu kubwa,iweje miaka hiyo yote USA ishindwe na Isis ?


Lakini baada ya urusi&Iran kuingia Syria ndani ya miezi michache waliwafurumisha waasi na kurejesha miji kibao kwa Assad na strong hold ambayo ni Aleppo mji mkubwa ulichukuliwa miezi michache iliyopita.

Swali miaka 5 USA alikuwa anafanya nini?

Miezi michache Iran&Urusi wamewezaje


*USA&Israel walikuwa na motives na ijulikane wazi USA&Israel ni mtu na mwanaye kipenzi,Israel haitaki Isis iwe defeated sababu ya motives zao sababu hawampendi Assad,Iran ,Hezbollah nk..na pia Saudia anahusika indirectly

USA lazima amsikilize mshirika wake ndio maana miaka 5 wanawapiga waasi halafu wanawaacha wapate nguvu wateke miji kisha hivyo hivyo kudestabilize tu ndio 5yrs chini USA no victory kwa waasi ama Assad lakini Putin na Iran walivyotia miguu unafki wa USA na Israel ukagundulika

Putin na Iran walimwaga mafuta ya taa kwenye mashimo hapo nyoka wakaanza kutoka kwa spidi ya ajabu

Israel ana meddle Syria saizi kuwachokoza akina Assad wanaingiza ndege zao ,

USA walipiga kelele sana peace talk zifanyike na kuwatishia Iran na Urusi

Tumeona na kila mtu ni shahidi USA walilalama sana pale waasi walipokuwa defeated

Tuliona USA alishambulia kambi ya jeshi ya Assad na kuua wajeda 100 na akawaomba radhi Syria&Urusi kuwa ni bahati mbaya na shambulio hilo liliwarahisishia waasi kurudisha himaya

Muda ndio hakimu nilitoa thread 2016 na Leo pia Israel anaendelea kuwachokoza akina Assad wiki iliyopita wameingiza ndege Syria na kufanyiana mashambulizi,kushindwa kwa Isis kumewaumiza sana kupita Maelezo


Mwisho Isis endeleeni kuwashambulia wests sababu wamejaa unafki


Nikimuona mtu anawatukana Isis kisa wamewashambulia wests haswa USA nitamuona wa ajabu sana.
 
kwa povu looote! Ukiulizwa asili yako, Ni mweusi unayeishi Tanzania!

Maandazi kabisa tena ya Bhahresa.
 
kwa povu looote! Ukiulizwa asili yako, Ni mweusi unayeishi Tanzania!

Maandazi kabisa tena ya Bhahresa.
Katika uchambuzi wa medani za kimataifa basi hata analysis wangekuwa hawachambui international news

Mie nimfuatiliaji mzuri wa siasa za kimataifa na nimeeleza kile nilichokifanyia tafiti

Hakuna sehemu nimetoa povu

Nimeeleza namna Saudia ,USA,Israel wanavyofanya unafki wao na maono yangu juu ya crisis inayoendelea saizi dunia

Ila maoni yako yanaheshimiwa
 
Mbona syria huwa wanasaidia Hezbollah wanapo shambulia isreal? Sasa isreal kusema tu kwamba hawataki isis kuwa defeated umeona ni kosa kubwa kuliko Syria kuwapa silaha Hezbollah? Halafu Isreal hajaingilia kabisa hii vita ya syria zaidi ya kushambulia silaha ambazo zilikua zina pelekwa kwa Hezbollah mashambulizi wanayofanya Isreal ni kwaajili ya kulinda usalama wao tu. Saudi Arabia, iran, usa na Russia ndio wahusika wakubwa
 
Back
Top Bottom