Mrejesho toka kwa bibi

Ukiwa muongo inabidi uwe na kumbukumbu nzuri.... Otherwise utaumbuka


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

huyu atakuwa umukagame bila shaka
 
Last edited by a moderator:
Ungefikiria hata njia mpya ya kupata hata umeme kias ingesaidia kupiga hatua ya maendele ya nchi yetu.
 



I like Tyta! Your good. Endelea kuwaumbua!
 
Last edited by a moderator:
Alimwaga mboga, weumemwaga ugali. Teh..tehh...teehh......
 

Na bado utaona kuna watu wanaendelea kumpa 'ushauri' eti
 
Si bora angemtengeneza liwe limesimama tu 24/7 bila kulala.
 

huyu dada ana matatizo
 
ka dushe katalegea milele? akone na zalau zake
 

Sasa mkuu anna Pita ikitokea na yeye jamaa akaenda kwa Babu kwenda kutegua hiyo kitu uliyo mfyatua na kukufanya wewe uwe "unavuja tuuu kila siku" bila kujali ratiba ya (Neil Armstrong) utafanyaje?? Pia uwe unatoa ni kile kiharufu cha siku zenu muda wote hata ukioga na kupga pafyumu za laki 5, je Utaridhika na hali hiyo?
 

Attachments

  • 10547654_684682258288757_695392811039958993_n.jpg
    15.9 KB · Views: 159
Last edited by a moderator:


mwe..... Tyta weye chiboko.....hongera....
 
Last edited by a moderator:

Sijuwi kesho atakuja na lipi, jf ni kiboko yao.
 
He kumbe! ulikuwa serious
 
Anna Pita mbona siredi zako za kichekesho sana. Haya sasa dushe halitanyanyuka tena. Hope mtuhumiwa si member huku JF maana atakuua. Jiandae kwani vita umeianzisha na ni nzito. Bora ungeua kabisa au nfanye kipofu. Atakuua.
 
Ndio maana ana pita...

Hata huyo mwanaume alikuwa anapita tu


 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…