Kinjekitile Jr
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 592
- 1,698
Wakuu ni matumaini yangu mu bukheri wa afya kabsa;
Mwezi uliopita nilikuja hapa kwenye hili jamvi nikaeleza kuhusu shida ya mkojo iliokuwa inanikabili na wengi wenu mkanishauri niende hospital nikafanyiwe uchunguzi zaidi ili nifahamu nini kinanikabili.Wengi wenu mli-predict uenda ikawa ni Urethral stricture au Tezi dume.
Wiki hii(14 February)nimeenda Bugando referral hospital,wamenifanyia kitu kinaitwa Cystoscope na wakabaini kuwa mrija wa mkojo(urethra) upo vizuri kabsa ila ninasumbuliwa na kichocho yaani kuna mazalia makubwa sana ya mayai ya kichocho ambao wamepelekea kupata haja ndogo ya kusua sua.Hivyo wamenipatia vidonge niweze kutumia
Je,kichocho kinaweza kusababisha kupata haja ndogo mbovu kama mgonjwa wa Tezi dume au urethral stricture…?
Lakini pia niliwekewa catheter (mpira wa kutolea mkojo),je ni upi muda muda sahihi wa kukaa na hiyo catheter,maana nahitaji nirudi kwenye shughuli zangu za kulijenga taifa letu pendwa la tanzania🇹🇿
Tafadhali,Mjuzi wa haya mambo anisaidie.
SOMA: Je, kuna madhara ya kufanyiwa upasuaji njia ya mkojo?