MREJESHO: Renata Mapunda amepatikana

Ila shangazi yenu ana roho ngumu sana. 40 years hataki kujua hata nduguze wana hali gani? Imagine watoto hamjuani si mnaweza oana na kuzalishana. It's a pity aisee
Usimlaumu ,hayajakukuta unasahau kwenu mazima ,kwafaida TU usije mpa kiwanja au nyumba awe anakulindia mmakonde ,utakuja kukataa siopako
 
Msisahau kumshukuru Mungu sana.
 
Wangoni na mbege wapi na wapi Sasa?
Kwenye ugimbi wa kingoni mbege haimo ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ labda kwenye familia yao Kuna member kaoa mchaga so anawaandalia mbege
 
Kwenye ugimbi wa kingoni mbege haimo ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ labda kwenye familia yao Kuna member kaoa mchaga so anawaandalia mbege
Nikiwa kama Mngoni asilia nimeshangazwa sana na hili suala la mbege ungonini๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Nikiwa kama Mngoni asilia nimeshangazwa sana na hili suala la mbege ungonini๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Sio Mambo yetu hayo mlongo wangu...
 
mie mmatengo bwana... Kahawa, ndizi ni nyingi,. MBEGE KWETU NI NYINGI TU..
Ni vile siku hizi Dunia Iko kiganjani kuigana kama kawaida,,ila kiasili mmatengo Hana Mbege
 
Ni vile siku hizi Dunia Iko kiganjani kuigana kama kawaida,,ila kiasili mmatengo Hana Mbege
ndugu yangu mbege ipo umatengoni kitambo,.. Sehemu inapolimwa kahawa na migomba lazma iwepo, na huku kwetu ulezi pia unalimwa. Mbege ipo kwa ukawaida ..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ