Pitia uzi wa kumtafuta, kuna vijana wameshusha mbinu mule..niliitumia kila mbinu ,,,Enheee!"hii umeenda..."embu tuambie namna ulivyohakikisha mpk unampata ili iwe fundisho kwa wengine.
Labda hujanielewa mkuu...niliupitia Uzi wako tangu siku ya Kwanza na nakumbuka Kuna mtu alikusaidia kupata mwanga Sasa baada ya hapo Nini kiliendelea?Pitia uzi wa kumtafuta, kuna vijana wameshusha mbinu mule..niliitumia kila mbinu ,,,
Sawa,, tangazo lile nilituma inbox kwa kila mwenye surname ya motta facebook na marafiki zake angalau 5Labda hujanielewa mkuu...niliupitia Uzi wako tangu siku ya Kwanza na nakumbuka Kuna mtu alikusaidia kupata mwanga Sasa baada ya hapo Nini kiliendelea?
SawaSawa,, tangazo lile nilituma inbox kwa kila mwenye surname ya motta facebook na marafiki zake angalau 5
Hatimaye mmoja toka mwanza akanipigia na kunipa details za hao walipo na namba zao
Wakati wote.Write your reply...MUNGU NI MWEMA.
KWA UPANDE WANGU.. kakaza mlengwa ni wazee wapo vijijini ambao ni baba zangu... Nami sikuchulia kiumakini... Sasa wiki hii wakawa wanaitana kujadili mambo fulani na hiyo ikawa ajenda lengo wanitume mie kwenda vituo vya kazi alivyowahi fanya mumewe... Nikawaomba wanipe wiki moja nitumie plan hii...Ni kawaida sana tu hapa Tanzania sema nawashangaa sana Kwa nini iwe mwaka huu na si mingine na wakati Facebook ipo toka 2008 huko, na RFA Redio ilikuwa na Satellite kipindi Cha kuwatafuta ndugu, rafii na jamaa kitambo chini Rahabu Fungo au Rahabu Freddy. Kuna mambo ya ajabu sana kwa nini iwe sasa. In fact Facebook would have been enough without all these lousy noise as if kawakosea chochote
MadawaYaani mtu unakaa miaka zaidi ya 40, bila kuona Wala kuwasiliana na ndugu zako. Daah!!