Baba amkana mtoto kisa ana nywele za kiarabu.....mama akasirika na kumtupa, polisi wamtia mbaroni


MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,027
Likes
5,487
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,027 5,487 280
[h=3]BABA AMKANA MTOTO KISA ANA NYWELE ZA KIARABU.....MAMA AKASIRIKA NA KUMTUPA, POLISI WAMTIA MBARONI[/h]


Binti mmoja aliyefahamika kwa jina la Khadija Idd anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Morogoro akidaiwa kumtupa barabarani mtoto wake mwenye umri wa miezi 6 baada ya mwanaume aliyezaa naye kumkataa.


Shuhuda wetu ambaye ni dereva wa bodaboda aliyefahamika kwa jina la Shabani, alisema tukio hilo lilitokea Juni 11, mwaka huu maeneo ya Mafiga karibu na Msikiti wa Mahita ambapo Khadija alichukua uamuzi huo baada ya mwanaume aliyezaa naye kumgomea mtoto kwa madai ana nywele za Kiarabu hivyo si wake.“Huyu dada alifika kwenye kijiwe chetu akiwa amembeba mtoto mgongoni na kukodi pikipiki ili nimpeleke mjini.

“Tulipofika kwenye msitu uliopo karibu na mashamba ya SUA, aliniambia niendeshe spidi kuna mtu anamuwahi.

Nilitii amri lakini tulipofika mbele kidogo nikashangaa anamtupa yule mtoto.
“Nilipoona vile nilisimama na kumhoji kwa nini anafanya vile, akawa hajibu. Nikamchukua na kumpeleka kituo kikuu cha polisi akiwa hana mtoto. Baadae wasamaria wema walimuokota mtoto akiwa ameumia na kumfikisha polisi,” alisema mtoa habari huyo.
Mwandishi wetu alifika katika kituo hicho cha polisi na kufanikiwa kumkuta Khadija akiwa chini ya ulinzi mkali huku mwanaye akitokwa na damu usoni na alipoulizwa kulikoni alisema:

“Jamani naomba msamaha, nimefanya hivyo kwa hasira baada ya baba wa mtoto kudai si wake, eti ni Mwarabu wakati yeye ni Mngoni wa Songea, nisameheni sitarudia tena.”Akizungumza na mwandishi wetu, Kaimu Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Morogoro, Tausi Mbalamwezi alisema mwanamke huyo amefanya kitendo kibaya na sasa wanamsaka baba wa mtoto ili amlee huku mtuhumiwa akisuburi taratibu nyingine.


“Yupo hapa na tumemkuta na kadi ya kliniki ikionesha kuwa, baba wa mtoto anaitwa Costa Haule. Huyu hana nia njema na mtoto kwani alitaka kumuua kwa hiyo baada ya kumtibia tunawatafuta ndugu wa mwanaume au baba wa mtoto ili wamlee wakati tukiandaa utaratibu wa kumfikisha mahakamani,” alisema Afande Tausi.

GPL


 
Mapolomoko

Mapolomoko

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Messages
1,754
Likes
14
Points
0
Mapolomoko

Mapolomoko

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2013
1,754 14 0
Nimesoma kisahiki kinasikitisha sana, wasichana wa sikuhizi hawaaminiki kabisa,
 
S

SukariTamu

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Messages
297
Likes
5
Points
0
S

SukariTamu

JF-Expert Member
Joined May 8, 2013
297 5 0
Mmmhh!..hapo pagumu mtoto mwarabu mama mluguru na baba mngoni...hapo lazima kuna kitu si bure..
 
M

Multiways

Member
Joined
Mar 28, 2011
Messages
39
Likes
0
Points
13
M

Multiways

Member
Joined Mar 28, 2011
39 0 13
some time inaweza kua ni sawa,,muhimu ni kupata feedback ya familia yake huyo mama,,hata mambo ya inheritance yana nafas sana,,tuwe na uhakika
 
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
3,909
Likes
861
Points
280
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
3,909 861 280
Wandugu; kwani nywele zina aina ngapi ?
 
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
3,909
Likes
861
Points
280
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
3,909 861 280
Kuna zakizungu,somali,kihindi,kiarabu,afrika na zadukani
Vyema nashukuru mkuu,
La ajabu wakina dada wengi nywele zao kama hizo ulizotaja, Sasa kachanga (mtoto) Dhambi yake nini?
 
T

Tabalo

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2013
Messages
235
Likes
6
Points
35
Age
33
T

Tabalo

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2013
235 6 35
Madokta hebu mfafanue kuna uwezekano wa nywele za mtoto kuwa tofauti na za wazazi
 
SMU

SMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2008
Messages
8,575
Likes
3,261
Points
280
SMU

SMU

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2008
8,575 3,261 280
Madokta hebu mfafanue kuna uwezekano wa nywele za mtoto kuwa tofauti na za wazazi
Nimetizams hiyo picha ya mtoto. Hizo nywele wala sio za kiarabu! Nadhani ni kukosa uzoefu tu. Hizo nywele huwa zinabadilika kadri mtoto anavyokua. Akifikisha miaka mitatu wala huwezi kujua kama alizaliwa na nywele za aina hiyo.
 
U

ureni

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
1,275
Likes
241
Points
160
U

ureni

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
1,275 241 160
Mmmhh!..hapo pagumu mtoto mwarabu mama mluguru na baba mngoni...hapo lazima kuna kitu si bure..
Mie kwa kweli wala nisinge mkataa mtoto ni mtoto ningemkubali na kumsomesha vizuri sio ajabu akaja kuwa barrack obama wa kesho
 
L

lazima ukae

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2013
Messages
717
Likes
79
Points
45
L

lazima ukae

JF-Expert Member
Joined May 15, 2013
717 79 45
Tatizo wanawake wamezidi umalaya...mabwana kila kona
 
H

halikela82

Senior Member
Joined
May 14, 2013
Messages
187
Likes
2
Points
0
H

halikela82

Senior Member
Joined May 14, 2013
187 2 0
Daaa!!! Hiki kidada kijinga sana c bora angempeleka vituo vya watoto yatima sasa mtoto ana dhambi gani hapo mpaka amtupe polin??? Wamezidi kuziacha wazi watoe fundisho kwa hako kachangu tu baaaaasiii!
 
Vannele

Vannele

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2013
Messages
287
Likes
7
Points
35
Vannele

Vannele

JF-Expert Member
Joined May 4, 2013
287 7 35
Jamani msimlaumu huyo dada tu... tugeukie na upande wa pili...
 
W

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Messages
736
Likes
2
Points
0
W

Waambi

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2012
736 2 0
Mama gani anatupa mtoto. Baba anamjua yeye mwenyewe...
 

Forum statistics

Threads 1,273,083
Members 490,268
Posts 30,470,607