Mrejesho: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake



heee
 
Aise Kusema ukweli Me nakuombea ulichomfanyia mumeo kitokee kwako....hv uyo jamaa ulokua nae saiv akikuzngua iyo sura yko utaiweka wapiii?
 
Mapenzi haya yaache tu upepo unaweza kubadilika mpaka ukatamani dunia ipasuke utumbukie ndani huo mwezi 4 unajua ni mbali sana hapa tunahesabu 6 month, mimi kuna dada nilisoma naye tukiwa kidato 2 mwenzetu wakammimba kibaya zaidi huyo kaka kaikataa mimba, mwenye bahat habahatiki dada kapata mchumba baada ya kujifungua mwanaume kasema mtoto si kitu nakupenda hivyo hivyo, kila kitu kikaenda sawa posa ikabaki tu wapange tareh ya ndoa lini ifanyike, yule mwenye mtoto alipopata taarifa akaja kumnyenga nyenga kuwa asiolewe na huyo mchumba atamuoa yeye ili wakalee mtoto wao mdada akakubali siku kaja mchumba akamtolea nje tuanenda kutunza mtoto wetu, basi mkaka kasusa mpaka posa alizotoa, kilichofuata baba wa mtoto hakurudi tena mpaka kesho
 



espy angalia mwanaume huyu !jaman kuna watu wana bariki ukisoma comments zao !dah!mmebaki wachache sanaaaaaaaaaa
 
Mungu akusaidie mwezi April huyo jamaa yako akukatae mchana kweupe .

Unaamni anakupenda au upumbavu.

Nini kilifanya mkashindwa kuoana mwanzo hadi ukaolewa na mwanaume mwingne ?

Mungu akupige laana hata kansa ya damu ufe kabla ya mwakani.


my ribs
 
Nimemwambia sent kule mwanzoni kuwa mwezi wa NNE sio karibu Mungu amtangulie, coz najiuliza kwa nini huyu anaempenda waliachana mwanzo ni??? Huyo mdada wa hiyo stori yako hakuchizi kweli?
 
Kadri navyozeeka nimezidi kujifunza kusamehe in advance (hata kabla mtu hajaniomba msamaha). Kuna watu anakuumiza, ila na yeye anaumia anajuta ingawa hana la kufanya na hata ukimwambia nimekusamehe, bado kuna muda kwenye maisha yake ataumizwa kwa alichokufanyia ie haishi kujihukumu. Na kuna mtu anakuumiza ila hana habari kabisa, ana amani moyoni mwake na hakumbuki chochote, ukimsamehe haya usipomsamehe sawa tu pia, wewe haribu maisha yako kisa kakuumiza mwenzio hana hata habari. So no matter what, naombaga Mungu anipe uwezo wa kusamehe, sio kila mtu atajinyima furaha ya maisha yake ili kukupa wewe furaha, samehe tu kwa ajili ya amani ya moyo wako. Huyo baba Mungu amtie tu nguvu, I hope ana watu karibu yake watakaomsaidia kukubaliana na hali kwa haraka, sio kitu rahisi kama tunavyokisoma. Ndio wengine wanaishiaga kuumiza na wengine pia kucompensate maumivu waliyonayo au ndo wale anakwambia simuamini mwanamke wala sitopenda tena .
 
Daaaah!!! Interesting and touching story... Huyo dada mpuuzi sana, kwa maoni ya harakaharaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…