Mehek JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 7,473 Reaction score 10,429 Mar 15, 2017 #1 Habari zenu wana MMU, Nadhani post yangu ya juzi wengi wenu mliisoma, Ilisema; Natafuta mpenzi Nilikuwa natafuta mpenzi nashukuruni kwa kuwa pamoja na mimi na wale ambao walinifuata pm na hawakukidhi vigezo wanisamehe ila nashukuru mpenzi nimepata anaitwa Isaac. Ahsanteni sana.
Habari zenu wana MMU, Nadhani post yangu ya juzi wengi wenu mliisoma, Ilisema; Natafuta mpenzi Nilikuwa natafuta mpenzi nashukuruni kwa kuwa pamoja na mimi na wale ambao walinifuata pm na hawakukidhi vigezo wanisamehe ila nashukuru mpenzi nimepata anaitwa Isaac. Ahsanteni sana.
hosh kosh JF-Expert Member Joined Mar 2, 2017 Posts 748 Reaction score 572 Mar 15, 2017 #2 enter your comment first.... ..na mm cjui nitafute
Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,709 Reaction score 23,117 Mar 15, 2017 #3 Isaack?
chinekeeee JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 1,787 Reaction score 2,896 Mar 15, 2017 #4 MWAMBIE AJIAMINI SIO KUKULAZIMISHA KULETA MREJESHO HAPA
Inna JF-Expert Member Joined Jan 13, 2017 Posts 11,194 Reaction score 27,089 Mar 15, 2017 #5 Bas sawa ulete mrejesho wa hatua ya pili
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,773 Reaction score 40,444 Mar 15, 2017 #6 hongera
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 Mar 15, 2017 #7 hongera sana Mungu awatangulie mfikie malengo yenu
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,856 Reaction score 89,758 Mar 16, 2017 #8 Nakuombea mrejesho hatua ya pili isiwe kibuti Hongereni sana Daniella&Isaac
donaldson don JF-Expert Member Joined Oct 28, 2016 Posts 624 Reaction score 416 Mar 16, 2017 #9 Nami natafuta jamani....
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,532 Reaction score 81,261 Mar 16, 2017 #10 Duh
The End.. JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 4,362 Reaction score 3,846 Mar 16, 2017 #11 Shunie said: hongera sana Mungu awatangulie mfikie malengo yenu Click to expand... sijui nikufate nilianzishe timbwili huko pm..!
Shunie said: hongera sana Mungu awatangulie mfikie malengo yenu Click to expand... sijui nikufate nilianzishe timbwili huko pm..!
Mehek JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 7,473 Reaction score 10,429 Mar 16, 2017 Thread starter #12 troublemaker said: hongera Click to expand... Ahsante
Mehek JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 7,473 Reaction score 10,429 Mar 16, 2017 Thread starter #13 Shunie said: hongera sana Mungu awatangulie mfikie malengo yenu Click to expand... Aminaaaa shunie
Mehek JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 7,473 Reaction score 10,429 Mar 16, 2017 Thread starter #14 joanah said: Nakuombea mrejesho hatua ya pili isiwe kibuti Hongereni sana Daniella&Isaac Click to expand... Hahahaha ahsante pia sitamani iwe hivyo
joanah said: Nakuombea mrejesho hatua ya pili isiwe kibuti Hongereni sana Daniella&Isaac Click to expand... Hahahaha ahsante pia sitamani iwe hivyo
jerrytz JF-Expert Member Joined Oct 10, 2012 Posts 5,980 Reaction score 4,284 Mar 16, 2017 #15 Defensive mechanism chinekeeee said: MWAMBIE AJIAMINI SIO KUKULAZIMISHA KULETA MREJESHO HAPA Click to expand...
Defensive mechanism chinekeeee said: MWAMBIE AJIAMINI SIO KUKULAZIMISHA KULETA MREJESHO HAPA Click to expand...
Paprika JF-Expert Member Joined Feb 25, 2017 Posts 5,950 Reaction score 9,880 Mar 16, 2017 #16 Hongera!
themanhimself176 JF-Expert Member Joined Dec 28, 2016 Posts 1,836 Reaction score 2,921 Mar 16, 2017 #17 Duuh imekuwa mapema juzi umetangaza Leo umeleta mrejesho umempata na jina juu Ama kweli ulidhamiria Hongera yako mkiachana usisahau mrejesho
Duuh imekuwa mapema juzi umetangaza Leo umeleta mrejesho umempata na jina juu Ama kweli ulidhamiria Hongera yako mkiachana usisahau mrejesho
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 Mar 16, 2017 #18 The End.. said: sijui nikufate nilianzishe timbwili huko pm..! Click to expand... karibu sana apa kigezo n uwe na hela tu
The End.. said: sijui nikufate nilianzishe timbwili huko pm..! Click to expand... karibu sana apa kigezo n uwe na hela tu
chinekeeee JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 1,787 Reaction score 2,896 Mar 16, 2017 #19 jerrytz said: Defensive mechanism Click to expand... Ok isaak tumekuelewa
jerrytz JF-Expert Member Joined Oct 10, 2012 Posts 5,980 Reaction score 4,284 Mar 16, 2017 #20 Well crafted assumption chinekeeee said: Ok isaak tumekuelewa Click to expand...