Sidhani ila ndo sitokaa kufikiri tena wala si lazima kuoa au kuwa na mwenza
Mambo ya kufanya majiribio na maisha Mimi siwezi kwa kweli acha niwe mshamba
Umbea huo! Kha! Ukisoma husahau? Hahaahahaha wakati nasoma nilimkumbuka sana mtu huyo huyo
hahahahaa we si ndio ticha wangu wa umbea lol shilingi ina pande mbili huyu analia yule anacheka
Sihitaji yoyote aitwaye Mwanamke katika maisha yangu nitajifunza njia mbadala za kutimiza haja zangu
never take that road to mbagara it will remind you of the teacher...
Yan wewe hu mwaka hauishi utaniambia
But don't be surprised she might come again with same fake attracting stories...Ahahaha umenifanya nicheke kidogo who is teacher by then??? Ndo nisiende huko amepita kama vinavyopita vitu vingine
Wanasema huo pia nao ni upepo na utapita tu hawezi dumu kifikra
Mbeibe atakuja
But don't be surprised she might come again with same fake attracting stories...
mmmh hapo kwenye ban ya mwaka hapana...utakuwa nyuma ya dunia pls dont think about that...kuna mambo mengi humu ya kukupunguzia kukumbana naye...unaweza kuamua kushinda jukwaa la wakubwa!!... kwanza natamani nipewe ban ya mwaka nije 2016 atleast nitapumua
mmmh hapo kwenye ban ya mwaka hapana...utakuwa nyuma ya dunia pls dont think about that...kuna mambo mengi humu ya kukupunguzia kukumbana naye...unaweza kuamua kushinda jukwaa la wakubwa!!
Sihitaji yoyote aitwaye Mwanamke katika maisha yangu nitajifunza njia mbadala za kutimiza haja zangu
Serebuka serubuka unaweza penda tena serebuka serubaka unaweza penda tena.....
Mhh!! Kijana pole sana usiseme hayo maneno tena unapishana na baraka zako,muombe tu Mungu akupe macho uone......nipe macho nione macho eeee nipe macho nione sawasawa by Christina Shusho.
Sitaki kuserebuka sitaki majanga sitaki penda tena nataka kutamani nitakuwa nasema dada nimekutamani tupige game la kirafiki nimejifunza penda Only happen in movie
Tena mimi alikua anamsongon wa mawazo sahivi anaamani kazi zinakwenda vizuri na mambo yote kwake shwari sana sasa yupo Airport terminal 1 ndo anatoka kazini sasa.Ila hapendi kua mbali na mimi naahivyo ninafisafari mwezi huu vya ugaibuni anyway tumediscuss amesema atakua poa tu ni hayo tu hivi punde yaliyojiriHahahaha me siwezi kuwa attracted mishipa ya upendo imekonda na purukushani za mjini haiwezi kurutubika
Even if atakuja with fake or real Id kwanza natamani nipewe ban ya mwaka nije 2016 atleast nitapumua
Hahahaha me siwezi kuwa attracted mishipa ya upendo imekonda na purukushani za mjini haiwezi kurutubika
Even if atakuja with fake or real Id kwanza natamani nipewe ban ya mwaka nije 2016 atleast nitapumua