dia fanya kukojoa ulale . ikikuuma sana my dia kunywa juice ya pilipili. sawa???Hata kama Ni mimi kwa kunisotesha na kunidescribe humu Jf lazima nikufanye mbaya sababu umendhalilisha sana mpaka nimekupata.... Labda utapata Marioo lakini shababi hakubali ujinga huu...
Maisha yanyewe tunaishi mara1 ya Nini kuweka vigezo vigumu bikra ungekuwa nayo sawa ila watu washapiga alafu uweke vigezo ni upuuzi mtupu.
Nasubiri utakuja kulia tena humu Time will tell
dia umekosa cha kusema? maskini, inauma sana maana dada zako wote shule iliwashinda wote ni ma barmaid. sasa wivu umekuniga baada ya kuona uzi wangu huna cha kunifanya ukawaza dada zako ma barmaid, ukaona na mimi unifananishe nao, niwape campani? nani kasema? dia wewe kojoa ulale huna namna, maumivu yakizidi kunywa juice ya pilipiliin short huyu atakuwa barmaid au nunga embe hana lolote anajitia uzuri
Umeuliza maswali yangu yote!! Safi sanaHii thread imenisikitisha sana! Siamini kama mpaka Leo bado kuna wanaume wa design hii! Unakwenda kufanyiwa interview na demu? Ili iweje,!!?
1: nani anaoa hapo?
2: nani atakuwa kichwa cha familia?
3: pale atakapokukubalia ,neno la kwanza kumwambia litakua lipi!??; asante ,nashukuru,ubarikiwe au vipi?
Sincerely I hv been pissed off with this thread,
Mkuu unataka na me nikufanyie interview pm kama mleta uzi
Pumbavu tu....dia fanya kukojoa ulale . ikikuuma sana my dia kunywa juice ya pilipili. sawa???
anazingua anazinguaWewe ni mwanaume na hata ungekuwa mwanamke hauna shida ya mchumba kama unavyojinadi, sana sana unawachora tu wanaume wa Jf
Daah..kweli mkuuNamm kabla sijalala niwambie ivi wanaume??.
Ebwana huyu mwanamke alikuja kutafuta Mwanamme humu , mambo ya kufanyishwa intavyu kama watoto myaache kabisaaa ,kama vipi Achaneni naye mfanye yenu ,maana usikute HANA KILE UNACHOKIAMIN ANACHO.
Lkn pia niufala mkubwa Mwanamke kuwaendesha kiasi hiki,,,yaan nyinyi ndo mnaotoa namba ,anawacheki Wasap ,anawachoraaaa namwisho anakupiga chambavu!! Ivo mpeni namba feki ,picha feki ,majina feki.
Binafsi sijawahi MPA mwanamke namba hiii NISHARITI ANIPE YEYE ,, mmoja tu niliwah kumpa lkn nisababu ya tatizo lake .
Nafanya hivo kwasababu NINAJIAMINI MNO, ALAFU SKET HAZINITETEMESHI.
Sasa angalieni Demu anavyowachora ??? Hahahahaa dadeki , taarifa zako ,kila kitu NABADO ANAKUKATAA!!
HAAAAAAAAA POLENI SANA.
lkn Jamaa aliwah sema ,watafuta wanaume humu ni ma Spy hawana lolote ,, sasa unaulizwaaa maswali yandan ndan hushtuki hahahahahha KUWENI NA AKILI MSITAKE WEPESI , mpeni Uongo ,Ili aondoke nauongo.
Pia nilazima Yeye ( Mwenye shida ) ndo awe interested LAKINI sio nyinyi ,, Hamna akili kabisaaaa ,yaaan demu usikute hana makalio makubwaa ,vimacho nivya mjapani ,NAYE ANAWAKIMBIZA MCHAKACHAKA ????? nyinyi ni majinga ya kiwango cha juuu. ONENI MNAVYOMPA SIFA?? Demu anaandika kwa kujimwagaaaaa .
Midume sasa imewekwa kwa Uchunguzi nyinyi ni washindwa ,dadeki ,au MLIDANGANYWA NA NGONJERA ZAKE ???
HAMJIULIZI KWANN ALIIKATAA ID YAKE YA MWANZO ??? ndio alikuja kuandika visababu ,,ila vile ni visababu UCHWARA !!!...
KAMA MNASHIDA YA KUOA KWELI ,TOENI MATANGAZO KUNA WADADA WAPO HUMU WENGIIIIIIIII NASIO KUKIMBILIA
MPELELEZI
MPENDA PESA
NAMENGINEYO
Ambaye mpaka anakuka kwako ,kavutiwa na Pesa nakazi yako NASIO MAPENZI YA KWELI.
SIKIENI , MSITAFUTE WEPESI WA MAISHA TOKA KWA VIMODA.
ANAKUPENDA KWELI ? ASINGEFANYA WIN-LOSE SITUATION ,,,, KUWEN MAKIN MTAJIKUTA MNAPOTEZA MENGI SANA ,, UKIONA ANAKUOMBA PICHA MWAMBIE YEYE NDO AKUTUMIE KWANZA ,, AKILINGA **CHAPA ILALE ,WEEE MWANAMME HAUNA CHA KUPOTEZA **
SASA MIJAMAA YA JF MNAPENDA WEPESIIIIII ,MATOKEO YAKE MNAPOTEZA ....
IVI HUSNA BOSS LADY , HAKUWAFUNDISHA TUUU????.
"KWA KWELI HUU UZI UMENIBOA SANA , WANAUME MMEDHARAULIKA IN SHORT"
Kabisa mkuuDaah..kweli mkuu
Mkuu wanazalilishwa au wanajizalilisha wenyewe??unampaje mwanamke nambako humjui sura hata umbo lake ???mijitu yahuko kolomije ndo yamenda kujazana huko pm .mwanaume mjanja unajitambua utaenda kuhojiwa namwanamke humjui ??Acha kudhalilisha watu wewe
ahaaaa unadhani hata unitukane tusi gani, nitakujibu tusi? magufuri toa ajira hawa watoto wanakufa na stress vijiweni.Pumbavu tu....
Bikira huna alafu unajifanya unamiliki mgodi pumbavu sana wewee....
una mawazo mabaya.anazingua anazingua
kazi ninayoa afu sipendaji lawama,maana nashindwa nitoe no kwaa nani? nimeshindwa kabisa. anyway. nitajua la kufanya. kwaresma ikija kuisha nitakuwa jibu ambae hatonivumilia, basi sio ridhiki.Mdada una kazi
sorry dia nina mashaka na kiwango chako kufikiri, maana huu mrejesho uko too general, sijamtaja mtu. dia watu kama nyinyi mbona mna vichwa vigumu kuelewa kitu? dah, walimu wana kazi.Kwa kweli Dada kama unataka mume kukikuwa hakuna sababu ya kuja kuanza kuelezea aina za wanaume uliokutana nao huko , kikubwa ungechambua km unavyochambua then ungemchukua huyo unae mtaka au aliyemeet vigezo vyako Na sio kuja kuelaza aina za wanaume walikufuata pm . what if wasingefuata napo ungekuja kueleza huku au