Powel Mizengo
Senior Member
- Jan 20, 2014
- 126
- 24
Nadhani mtakumbuka wiki mbili zimepita tangu nilipowaeleza kisa cha yule rafiki yangu na mchumba wake ambaye ni mwalimu huko Moro!
Baada ya kupokea maoni na ushauri wenu wanajamvi;hasa ukizingatia wengi wenu mlishauri asirudiane naye,nami nilimshauri hivyohivyo.
Chakushangaza jamaa aliendelea kumfatilia huyu mwanamke na hivi sasa navyowaandikia thread hii,Jamaa yangu yupo Hosp amejeruhiwa vibaya na yule msela ambaye alikuwa akitoka na mchumba wake!
Kumbe siku ya Ijumaa ya wiki iliyopita, rafiki yangu aliamua kwenda tena Moro na alipofika home kwa demu wake hakumkuta,alipopeleleza akaambiwa kuwa mchumba wake yupo Bar iitwayo Makuti pale Msamvu na mwanaume mwingine wakinywa Mvinyo!
Ndipo jamaa alienda mpaka pale na kilichotokea ni varangati kubwa sana na sasa jamaa yangu yupo hospital kwa matibabu kwani amepigwa chupa ya kichwani na uso umevimba manundu kadhaa !
Juhudi za kumkamata mtuhumiwa zinaendelea; na yule mwanamke pia amekwishakamatwa ila yupo nje kwa mdhamana!!!
Nilijitahidi sana kumpa ushauri kadri wanajamvi mlivyonipa ushauri but jamaa ndo hayo yalomkuta!
Nawaombeni msaada wa sala na maombi ili jamaa yangu apate kupona kwa haraka!
Asanteni!