Mrejesho: Mpenzi nimempata

ndugu piga kitabu si asharudi mwenyew usisahau kujipongeze kwa papuchi yake

piga vilivyo weka heshima
 
sio bure wakupimwa akili wewe
 
Hawa wadudu ni wa kuishi nao kwa akili sana
 
Usifurah sana labda anajipoonza majonzi nayeye yakuachwa
 
Inaonekana mpenzi wako ni member wa JF baada ya kuona bandiko lako ndio akathibitisha kuwa unampenda. Ongeza maujuzi asije akakublock tena.
 
Huyo dem ana akili sana kamaliza kiswampa huko na bwana mwingine ndo kaku unblock hahaha bwanake akirudi anakublock usije muharibia...
Hongera kijana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…