chanawalleti
Member
- Jul 16, 2016
- 49
- 45
Una matatizo wewe, pengine he feels good akisema, wewe umekuwaje disappointed? Uliombwa usome? Wacha kuwa na Roho zisizokuwa za kiungwana...... Hili andiko Ni zuri na Jema sana kuliko mengine mengi yakijinga, mtake jamaa radhi...
usimhukumu mwache tuuUna matatizo wewe, pengine he feels good akisema, wewe umekuwaje disappointed? Uliombwa usome? Wacha kuwa na Roho zisizokuwa za kiungwana...... Hili andiko Ni zuri na Jema sana kuliko mengine mengi yakijinga, mtake jamaa radhi...
Uzuri wa bandiko umeuona wewe, ungana na madaktari muendelee kumpongeza.Una matatizo wewe, pengine he feels good akisema, wewe umekuwaje disappointed? Uliombwa usome? Wacha kuwa na Roho zisizokuwa za kiungwana...... Hili andiko Ni zuri na Jema sana kuliko mengine mengi yakijinga, mtake jamaa radhi...
Uzuri wa bandiko umeuona wewe, ungana na madaktari muendelee kumpongeza.
mkuu tambua humu ni jukwaa huru pia watu wengi wana matatizo tofauti na unavyofikiria pia Kuna waliothika na vvu wana stress adi wengine wanatamani kujiua pia tambua kua Kuna ambao wanajifunza kupia mm. pia mm Kuna ninayojifunza kupitia comment za watu. na utambue matatizo ni sehem ya maisha na siyo tuu ujue ww ukijilinda hutaupata ugonjwa pia unaweza usipate vvu ukapata ajili ukakatika miguu au ukawa kipofu gafla. dunia ina mambo mengi. jitahidi kuwa na breki ya mdomo ndugu. usione mtu anatembea barabaran kawa chizi unadhani kapenda? usione wanaojiuza unadhani wamependa? jibu hili ulishapata fastression yyt ktka maisha yako? mkuu dunia ina mambo sana na majaribu sanaHivi ni lazima kila jambo lako uliweke hapa jukwaani?
😎Disappointed.
mkuu kama ww hujajifunza Kuna wanaojifunza kupitia huu uzi na kuwajenga na kuwapa matumaini pia tambua huu uzi Kuna mtu anausoma na yupo Hali mbaya na unampa nguvu anaponakwakwli inashangza na wtu wa namna hii wanakwaza. lol. tna jmbo serious kma hli sdhan kama kna umuhimu kulianika.
sawamkuu kama ww hujajifunza Kuna wanaojifunza kupitia huu uzi na kuwajenga na kuwapa matumaini pia tambua huu uzi Kuna mtu anausoma na yupo Hali mbaya na unampa nguvu anapona
mkuu tambua humu ni jukwaa huru pia watu wengi wana matatizo tofauti na unavyofikiria pia Kuna waliothika na vvu wana stress adi wengine wanatamani kujiua pia tambua kua Kuna ambao wanajifunza kupia mm. pia mm Kuna ninayojifunza kupitia comment za watu. na utambue matatizo ni sehem ya maisha na siyo tuu ujue ww ukijilinda hutaupata ugonjwa pia unaweza usipate vvu ukapata ajili ukakatika miguu au ukawa kipofu gafla. dunia ina mambo mengi. jitahidi kuwa na breki ya mdomo ndugu. usione mtu anatembea barabaran kawa chizi unadhani kapenda? usione wanaojiuza unadhani wamependa? jibu hili ulishapata fastression yyt ktka maisha yako? mkuu dunia ina mambo sana na majaribu sana
ww hujitambui nyie ndiyo kutwa nzima mnakua jf mnaleta mambo ya tigo tuu tena ningekutukana sana mk........wako mtu analeta mada ya maana ww unapondaHivi ni lazima kila jambo lako uliweke hapa jukwaani?
😎Disappointed.
na huyu anaunga ujinga sana nyie ndiyo wanaume wa daslam eekwakwli inashangza na wtu wa namna hii wanakwaza. lol. tna jmbo serious kma hli sdhan kama kna umuhimu kulianika.
hahahha. mzibua chemba mie sio mwanaume.na huyu anaunga ujinga sana nyie ndiyo wanaume wa daslam ee
mfundishe kabisa maana hawaelewi kabisa unaweza kuta apo alipo hajawahi ata kupima afya yakeWewe ndiye huelewi. Norway inaongoza kwa watu wake kujiua kwa kujinyonga, kisa ni mtu kukaa na tatizo. Mleta maada hana kosa kabisa na kushare issue kama hizi zinasaidia kurefusha maisha, hasa pale ambapo unapata ushauri kwa great thinkers wa JF.
Wewe tukana kama unajiskia kutukana, ili utudhihirishie ujinga wako ulioficha huko kichwaniww hujitambui nyie ndiyo kutwa nzima mnakua jf mnaleta mambo ya tigo tuu tena ningekutukana sana mk........wako mtu analeta mada ya maana ww unaponda
Wewe unataka nikomenti unachotaka wewe au?mfundishe kabisa maana hawaelewi kabisa unaweza kuta apo alipo hajawahi ata kupima afya yake