Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,698
- 32,275
Wadau nashukuruni sana kwa maoni na ushauri wenu. Yule demu ambaye jana toka mchana namhudumia chakula na vinywaji usiku akavimbiwa na kuhatarisha tukio la ugegedaji. Ni suala ambalo lilinikosesha raha sana na kutaka kuharibu siku nzima.
Nlimtafutia magnesimu akameza tatu,nikamlaza chali nikampaka mafuta tumboni,nikamfagiaa kama mlivyoshauri,nikamchemshia na chai akanywa. Mpaka saa sita akawa mwepesi na mwenye bashasha.
Nikawa muungwana na mkarimu kwa mgeni wangu.mida ya saa sita alikuwa vizuri kabisa. Nikaona sasa ndo wakati wenyewe wa kuendeleza jukumu lililotukutanisha.maana asidhani nlimleta home kuja kucheza karata.
Basi tuligawa game katika sessions 4 na asubuhi hii sijaweza enda kazini ili tuweze maliza kilichoanza jana. Nashukuruni sana maana bila hivyo ngejikuta nmeambulia tu trailer picha lote nikalikosa.
Nawapa tu mrejesho kuwa tukio lilifanikiwa kufanyika.na ninyi mlisaidia kulifanikisha. Tuwe tunapeana support namna.
Nashukuru pia hata wadada wengine walitoa mchango mzuri ili kufanikisha tukio la ugegedwaji wa mwenzao.walionesha ushirikiano mkubwa sana kwangu.na tukio lilifanyika kwa kiwango kizuri
Asanteni sana wanajamiiforums.