R_Breazy
Member
- Aug 28, 2025
- 32
- 54
Habari za wakati huu
Bila kuchelewa nimerudi kuWASHUKURU KWA MAWAZO NA MICHANGO YENU KWENYE POST YANGU YA MWISHO, NILIPATA MWANGA NA NIKIRI TU HUU MWEZI WA PILI UMEKUWA MZURI KWANGU, KWANI KILA CHANGAMOTO ZANGU ZIMETATULIKA 80%
Na niseme tu Ile miezi miwili ilokuwa inatoa mwanga kwenye ndoto(MWEZI WA PILI) inaeleza na kuakisi kinachoendelea Kwa upande wangu.
Wakuu nikiri tu- Kuna watu ni wema sana na Mungu hutumia watu ili mapenzi yatimizwe!
MUNGU NI MKUBWA& ANA MANGUVU SANA🙏🙏🙏💯