Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

Hawa Templefx wakoje anaowajua vizuri pliz?
Jiulize haya maswali...

1. Je yuko regulated na kampuni gani?

2. Je ni ecn/stp au market marker?

3. Anatumia commision au spreads?

4. Minimun deposit yake ni shilingi ngapi? (hapa ndio shida yao ilipo)

5. Ana options gani za kuweka au kutoa pesa?

6. Marginal call na stop out level yake ni ngapi?

7. Je watu wanasemaje kuhusu yeye??

Nimeangalia data zake naona ni kampuni iliyoanzishwa mwaka jana, so bado ni changa! Kwa mtazamo wangujapo sijaona data/reviews zake nyingi ila kwa chache nilizoona ni kwamba sio kampuni mbaya ni nzuri tu!

Unaweza ukaangalia na hawa pia...

1. Tickmill na

2. JP market
 
Kuna watu/ mtu amesha withdrawal PESA kutoka huko FOREX...??? Akaipata mkononi..?
 
"Huko Forex" ni wapi? Watu wana deal na brokers na exchanges kwa hiyo "huko Forex" si sehemu moja. Inabidi swali lijikite kwa broker. Unaweza kuwa na broker mmoja mzuri hana shida kwenye withdrawals na mwingine mwizi analeta shida kwenye withdrawals.

Mimi nimesha withdraw roughly $10,000 juzijuzi hapa kutoka NADEX.
 
Hatari kumbe unaweza lizwa aiseee.. maana unasema broker anaweza asikupe chako...

Me nadhan ku withdrawal ndo kitu cha kwanza kinatakiwa kwenye hii business.. MAANA ukipigwa huko inakuwa Ngumu kulalamika sehem..
 
Biashara yoyote online unaweza lizwa na unatakiwa kuangalia reviews kabla ya kutoa hela zako.
 
Watanzania ni wavivu kufanya kaz, Ckuhz Hakuna pesa ya bure aseh hzo pesa za Mtandaon tutawaskia mnaweuka
 
Hata wewe ni mvivu kufanya kazi.

Ndiyo maana hujajua.

1. Pesa ya Forex si pesa ya bure, kuna kazi kubwa sana inatakiwa kwenye research.

2. Kuna Watanzania tunafanya kazi hiyo ya research na tunapiga hela.

3.Ulimwengu wa sasa na unaokuja ni wa "knowledge economy". Mwenye knowledge anaweza ku control uchumi zaidi ya anayelima, kwa sababu mwenye kulima atazalisha mazao, mwenye knowledge ata control bei na movement ya mazao, mikopo, pembejeo, sheria, miundombinu etc.

Ndiyo maana miaka yote tunakuwa masikini kwa kupangiwa bei za mazao yetu wenyewe.

Sasa vijana wanataka kuanza kujitoa kwenye uchumi wa kulima tu, wengine wakaingia kwenye kuelewa uchumi wa kupanga bei, utawavunjaje moyo kama ni mtu unayefikiri?
 
Hatari kumbe unaweza lizwa aiseee.. maana unasema broker anaweza asikupe chako...

Me nadhan ku withdrawal ndo kitu cha kwanza kinatakiwa kwenye hii business.. MAANA ukipigwa huko inakuwa Ngumu kulalamika sehem..
Mkuu, post zako zote unauliza kwny negative side Pekee ,Kwa haraka haraka nakuelewa ni kuwa unataman kuingia kwenye forex Ila unahofia kuwa forex ni utapeli Tho Huna uhakika na unahofia tu, Nakushaur Karibu TMT ni training institute iliyosajiliwa na serikal hapa tz Kwa ajil ya kutoa elimu ya forex, utapatiwa right broker wa uhakika mwny had physical address, forex ni ngeni Kwa watz weng so is better upate mtu wa kukushika mkono. Asante
By the way Leo jion Kama sio kesho Ntaenda kudraw pesa kutoka forex mkuu, Kama hutojali naomba tuongozane ili uamini nnachokuambia.
Thanks once again
 
Tafadhali ukisha withdrawal tupia ma evidence kbsaa mkuu... ndo tunataka vitu kama hiv ku withdrawal PESA upate mkononi.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Dear Client,

We are writing to inform You, that your withdrawal request has been processed to the card ending with 6089.

Please note that credit/debit card withdrawals can take up to 8 working days to be seen in the client's account.

Thank you for using our services.

Kind Regards,

Zehua
Payment Specialist | Tickmill Ltd
T +852 5808 2921
+65 3163 0958
E support@tickmill.com
W www.tickmill.com
 
Mbona watu tuna withdrawal tu hy nilitoa na jana mpunga umeingia acc yangu ya crdb though imechukua mda kidogo nafikiri sababu ya weekend
 
Tafadhali ukisha withdrawal tupia ma evidence kbsaa mkuu... ndo tunataka vitu kama hiv ku withdrawal PESA upate mkononi.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Post ziko nyng tu ukifuatilia thread zote za forex, Sawa mkuu ntatupia hata mzgo ntaoenda kuchukua ntatupia Pia, Kwa faida ya watu wenye wasiwasi bado.
Nb:forex isn't a get rich quick place
Forex is simple but not easy, it needs a lot of patience.
Ukichagua forex ukubal kusoma vtabu haviepukiki, hata b4 hujaingia rasmi kwny forex tafta vtabu vipo ving mno, Anza kusoma ,maswali yako yote unayouliza humu juu ya forex majibu yapo kwny vtabu na Utapata knowledge kubwa itayobadilisha maisha yako.
Asante
 
Dear Client,

We are writing to inform You, that your withdrawal request has been processed to the card ending with 6089.

Please note that credit/debit card withdrawals can take up to 8 working days to be seen in the client's account.

Thank you for using our services.

Kind Regards,

Zehua
Payment Specialist | Tickmill Ltd
T +852 5808 2921
+65 3163 0958
E support@tickmill.com
W www.tickmill.com
Asante kwa shuhuda.... maana shuhuda kama hiz n chache sanaa... yaan kati ya wote n wewe tu umefanikiwa ku withdrawal... duhhh
 
Post ziko nyng tu ukifuatilia thread zote za forex, Sawa mkuu ntatupia hata mzgo ntaoenda kuchukua ntatupia Pia, Kwa faida ya watu wenye wasiwasi bado.
Nb:forex isn't a get rich quick place
Forex is simple but not easy, it needs a lot of patience.
Ukichagua forex ukubal kusoma vtabu haviepukiki, hata b4 hujaingia rasmi kwny forex tafta vtabu vipo ving mno, Anza kusoma ,maswali yako yote unayouliza humu juu ya forex majibu yapo kwny vtabu na Utapata knowledge kubwa itayobadilisha maisha yako.
Asante
Tunasubir shuhuda.. maana hata tomaso hakuamin mpk alivyoona.. #withdrawal#
 
Screenshot_2017-10-31-08-45-20.png

Na hiyo bank statement na nime withdrawal ktk benk yangu jana hiyi hiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom