Rakims kapotea ghafla na mada zake ambazo kwa muda mrefu zilifanya watu tukatafuta vitabu na kufanya utafiti wa hilo na kugundua ukweli wa kinachoendelea.
Astral projection ipo na kwa mujibu wa tafiti yangu binafsi nimegundua kwamba unapoanza mwanzo unaweza kuona ni jambo kubwa kuliko ila kadri utakavyoendelea utagundua ni jinsi gani ubongo wako utafunguka na kuelewa zaidi.
Ni mazoezi yalofanyika toka miaka mingi na zipo jamii zinazoamini sana ktk spirituality,lakin kwa nyakati nyingi ukweli umekuwa ukifichwa.
Rakims na baadhi wamekuwa wakijaribu kuweka wazi elimu hizo ambazo kwa nchi zetu za kiafrika zinabaniwa sana kutolewa.
Tofauti na dhana ya wengi,kuna mengi ya kujifunza.
ULITAKA KUSAFIRI KWENDA NCHI GANI?passport unayo?
inaruhusiwa kusafiri kwa njia hiyo na kuingia bank usiku na kutoka na burungutu la pesa?
Rakims una uzi ulizungumzia jinsi ya kufanya astra projection. Nimejaribu na feedbak ni hivi nmeishia pale kwenye ganzi maana nilihisi kama mwili unamong'onyoka,
Halaf pumzi najikuta nabana naskilizia mwili unavyobongonyoka. Nifafanulieni vizuri hapa maana hadi nimepandisha homa asubuhi. Ikiwezekana nipeni easy ways.
Help!
@Rakims una uzi ulizungumzia jinsi ya kufanya astra projection. Nimejaribu na feedbak ni hivi nmeishia pale kwenye ganzi maana nilihisi kama mwili unamong'onyoka,
Halaf pumzi najikuta nabana naskilizia mwili unavyobongonyoka. Nifafanulieni vizuri hapa maana hadi nimepandisha homa asubuhi. Ikiwezekana nipeni easy ways.
Help!
cjajua asee, me mpango wangu niende 2 kwa babe angu night maana yuko mbal japo nimuone.
Ndugu naishia hapo hapo tu, ila nashuruku imenisaidia jinsi ya kufanya meditation kwa urahisiGanda la ndizi bado hujatupa mrejesho mwingine...toka siku uliyooona unabongonyoka hukufanya tena mpaka leo,???
Mkuu Rakims, Kuna wengine wanasema kuwa ukishafikia kwenye hatua hiyo ya ganzi vuta fikra kwamba kuna kamba inaelea juu yako then uinue mkono na kuidaka halafu kamba hiyo ndio itakayokusaidia kukuvuta juu,Ulifanya Kosa Dogo Kwamba Ulihama Ulichokuwa Unafanya Ukaingia Katika Kuikagua Process You Had To Wait Kwa Maana Ilikuwa Mara Yako Ya Kwanza I Hope Ungekuja Na Mrejesho Mzuri Next Time Focus On Breath Not On Body... Pale Ulipohisi Mwili Unabongonyoka Ungehold kidogo halafu ungefanya kama kuinuka I'm Sure You Were Found Yourself Above Your Body... Keep In Mind My Advice It Gona Help You Next Time Samahani Kwa Kuchelewa Kukujibu I'm Busy Now Days...
"Rakims"
Habari mkuu njia pekee itakayo kusaidia kutoka ukiwa hapo ni utulivu tu aim yako iwe kwenye kutoka maana rope na vibration hupelekea kwenye visualization ambayo itakufanya utoke hali ya kuwa hujui upo nje ya mwili au kwenye lucid dreamingMkuu Rakims, Kuna wengine wanasema kuwa ukishafikia kwenye hatua hiyo ya ganzi vuta fikra kwamba kuna kamba inaelea juu yako then uinue mkono na kuidaka halafu kamba hiyo ndio itakayokusaidia kukuvuta juu,
Na kuna wengine wanafundisha kwamba ukishafikia hatua hiyo ya ganzi unatakiwa kuongeza vibrations kwani vibrations ndiyo itakayokusaidia kukutoa kwenye mwili wako na kukuvuta juu,
Mkuu nahitaji muongozo wako hapo, ukweli ni upi? na njia gani ni sahihi.
Mimi hiyo hari inanitokea kila siku usiku kujikuta kwenye ganzi lakini nakuwa sijuw ni njia ipi sahihi.
Huo ndiyo ukweli, kuna bro kwa sasa ni marehemu alikuwa na Doctrine ya uhandisi ujerumani aliitwa Dr. Rudolf Diesel miaka ya 1850's aliwahi lipukiwa na injini katika majaribio yake ya kutafutafuta injini itakayotumia joto la hewa iliyogandamizwa kuchomea mafuta akalazwa miezi 6 hospitali ila baadae akakamilisha mzigo leo dunia ina Diesel Engines.Bila kuwa na roho ngumu huwezi gundua kitu kipya!