Lee Napoleon
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 896
- 568
Ungemfuata Rakims kwenye uzi wake ulikuwa huna ulazima wa kuanzisha uzi
ULITAKA KUSAFIRI KWENDA NCHI GANI?passport unayo?
inaruhusiwa kusafiri kwa njia hiyo na kuingia bank usiku na kutoka na burungutu la pesa?
Sii lazima uchangie kama mchango wako ndio huu! Sometime kukaa kimya kunakusitiri🙁
Mtakufa
Mtakufa
Watu wangu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa. Nyakati za hatari hizi lazma kuwa makini sana tu.
Mtakufa
hakika hawataishi...wanaleta mzaha na Mungu...!
Woga wako ndo umaskini wako je unaijua umbilical cold?
Ukiwa out of body no harm unaunganishwa na kitu inaitwa silver cold sawa na umbilical cold inayomuunganisha mama na mtoto.
Watu kama hawa wanaabudu uoga! Namaanisha kuwa uoga wao ndio mungu wao.
Tatizo wakiwa huko makanisani au misikiteen hawaambiwi hizi makitu wakati hata walimu wa imani kama yesu, krishna, buddha wanasema binadamu wamelala yaani watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Mmesema tunaweza kusafiri nje ya nch kwa hiyo mnaita projection..fafanua vizuri watu twende miami beach