Aisee yule mtoto mchungaji kamtimua kama mbwa kanisani kuwa analitia aibu kanisa, hiyo imetokea baada ya kupata no ya mchungaji na kumpigia nikimchana live aache kudanganya na achukue jukumu maana ile mimba ni ya kwake ila anataka nikamatisha.
Mtoto wa watu imebidi aniweke wazi kuwa kweli ni mimba ya nabii ila walipanga nikamatisha.Nimemsaidia pesa amepanga huko uswahilini anaishi na kujiandaa kuitwa mama.
hili nalo JIPU!!! hawa wanaotumia jina la MUNGU km kitega uchumi na kuharibu maisha ya watu malipo yao ni hapahapa duniani,,,,,,,,,,,, bora ni baki na MR wangu kulikoni kupeleka matatizo yetu huko.