Mrejesho: dem niliyempata Ud

Mrejesho: dem niliyempata Ud

Kula chakula chako mwenyewe, cha nje si salama.
 
siku nyingine uje nikuazime pingu uwe nazo kabla ya mechi... ila huyo ni mdogo wangu nikikukamata!!!
 
Mada nyingine hataa hazina maana kuziweka humu mitandaoni
 
hamia chuo kingine.....
njo CBE kwa watoto wajanja hawana mahaba niue kabisa
 
Back
Top Bottom