naomba namba zako kakaUliza kaka
Habari wanajamvi
Niliwahi kupita hapa nikauliza juu ya biashara tajwa. Nashukuru nilipata ABC's zake.
Biashara ya Coin Betting maarufu kama 'Bonanza la Mchina'
Nilijaribu kufuatilia kampuni 1 walinizungusha sana kwa zaidi ya wiki 2. Nikaona hii imeshindikana isiwe tabu na hapo nishakodi fremu ya 2.
Siku nimekaa tuu kijiweni wakaja jamaa wakanieleza juu ya hizi kitu. Hii ilikuwa ni kampuni tofauti na ile ya mwanzo. Kwa vile sikuwa mgeni kusikia na nilikuwa natafuta kwa muda mrefu nikaona huu ni muda mwafaka wa kuchukua.
Jamaa alikuwa na mashine kwenye gari. Tukaweka ndani akafunga solar ya 100w betri N40*2 na inverter.
Mtaji ni zile coin za 200.
Wakanipa option kama nina ela ninunue coin za 60,000 ila kama sina wanikopeshe hiyo 60 then watakata kwenye malipo.
Nikaona sio mbaya. Nimepiga kazi leo ni siku ya 10. Tumepiga hesabu wamelipa 62,000.
Na nishawaingizia 400,000
Hawa jamaa wanapiga ela
Umeme wao
Mtaji wao
Chumba 5,000@mwezi
Msimamizi mimi.
Hapa wakanipa tena option 2.
1. wanilipe yote halafu vifaa vya umeme vibali kuwa vyao
2. wanilipe nusu vifaa wataniachia.
Nilichagua kulipwa yote maana nina solar zangu.
Hujamuelewa!Hawana muda maalum.
Mfano kama kenya walikaa less a year ndo wakaja tz

Duh kwa hiyo kama unataka wakuachie vifaa ni wanakulipa nusu hadi waondoke na wanaondoka lini ndo haijulikani?Hadi waondoke haijulikani wanaondoka ln
Taabu kwelikweli!Hongera mkuu, lakini naona ni mapema sana kuleta mrejesho
Hapo kwenye jamaa wanapiga sana hela, kuna kinyume chake watu wa aliwa sana hela
Mkuu nime ku PM!! niunganishe na hao jamaa, ki ukweli wachina wanazingua sana!!Uliza kaka
Sasa mkuu ni me ku pm, nime QUOTE, ili unipe tu mawasiliano na jamaa, imekuwa ngumu, utadhania naomba URAI WA USA!!!?? hiyo ni kampuni ambayo ina hitaji wateja ili izidi kukua, kutoa mawasiliano tu ni tabu, je ningekuwa naomba wazo lako la biashara ingekuwaje?!!Habari wanajamvi