Asante mkuu kheri ya mwaka mpyaSi kwamba sijawahi au huwa sipitii Magumu hapana
kuna wakati huwa napita hata akili inasimama,
lkn pamoja hayo tangu niwe na akili za kupambanua jema na baya, sijawahi kufikiri kujiua
zaidi ya kupiga moyo konde na kusonga mbele,
ni ujinga kutaka kukatisha maisha eti kwa sababu kuna jambo fulani linakupashida
ni uwendawazimu
Mungu azidi kukupigania utafanikiwa kukata tamaa ni dhambi kubwa sana labda uwe umekufaa lakini kama una vuta pumzi amini kuna siku utafanikiwa asante sana.kheri ya mwaka mpya wakuu japo nina uchungu sana asanteni
Alhamdulillah Mpaka Hapa nilipo mwaka jana
Kunawakati Nilikata Tamaa nakumkufuru mwenyezi mungu kwa mitihani ya maisha wakuu baada wadau humu jf kunipa matumaini
Lkn Allah Akanijaza Nguv
Zaidi
Allamdillillah
Wakuu kwa mwaka 2017 nilijipanga kujiendeleza na masomo yangu ya ufundi ndugu zangu naombeni msaada mnijuze zaidi ni chuo gani ambacho nitaweza kujiendeleza na ufundi wangu sifa za elimu yangu rejea thread yangu ya mwaka jana
Baraka current a k a funny deaf
kiongozi kila mtu anapitia mitihani yake ila ni marufuku kukata tamaa Mungu akupe ujasiri na nguvu katika hivyo vitu unavyopitia.Sometimes huwa napitia vitu ambavyo mpaka akili yenyewe inasema "Siwezi kuendelea zaidi hapa nilipofika nimefikia mwisho wa uwezo wangu na kufeli kwangu ni mipango ya Mungu".. Inauma sana,there has nothing you can do..Ila kujiua ni kitu ambacho si rahisi kuwaza ukiwa na imani.