Mrejesho: Atafia mikononi mwangu

Ninachoamini, wewe ni bright na unaweza ukawa ni daktari kweli, ila ni mp.u.u.zi na sijui Kama maadili ya kutunza siri za wagonjwa unayatiii Kama siri zako tu unafunguka Hivi????
Na kwa jinsi ulivyoelezea unafanya kazi kwenye hospitality kubwa tu inamaana wamekuamini so you r good upstairs, ila hauna elimu mtaa.
Mimi yangu ni hayo tu nakuomba ujitafakari
 
Inamaana we ni Dr MO wa hapa muhimbili
 

humu jf kuna wengi!

Haya ndugu huyu anaye tuadithia ni nani?

Rafiki yake aliyeuliwa ni nani?

Anafanya kazi wapi?

Ukijibu hayo maswali kweli lawama zako za unethical zimfikie ila ukishindwa jiulize we ni nani?
 
Pole Dr. Kwa kuwa umeona kumpekeka ktk sheria ushahidi hautatosha, ni bora unyamaze milele na hata huyo mgonjwa asielewe chochote. Mungu akupe wepesi ktk wakati huu mgumu
 
 
Kwa Ushauri wangu hawa watu huwa hawana utu ungedisturb brain yake awe taahira tu no Kuua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…