Mrejesho, alidai hana hisia.

mkuu nakuambia vipi, huyo dada hujampenda na wala humpendi. Hapo kinachofanyika ni uchu wako tu

Ajabu ya sisi wanadamu hatujui kwamba hapa tumependa au hapa tumetamani tu,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mkuu nakuambia vipi, huyo dada hujampenda na wala humpendi. Hapo kinachofanyika ni uchu wako tu

Ajabu ya sisi wanadamu hatujui kwamba hapa tumependa au hapa tumetamani tu,
Hahahah sio kweli nilimpenda sana mkuu
 
amekupotezea mdaa wako nakumwaga swagger za mapenzi end of the day huna mpenzi[emoji23][emoji23]
 
Ngoja waje --- wataupinga huu uzi kwa nguvu zote
 
Hahahah sio kweli nilimpenda sana mkuu
Siriaz mkuu nakuambiaa.
Hujampenda huyo dada.

Mwanamke ambae hukuplan kumfanya mwenza ndie ambae anakuwa mwenza, na mwanamke ambae unaplan awe mwenza unashangaa anakuwa mwanza wewe lindi.

Ni hivi mkuu..

Usiende kutafuta ftari wakati umefunga, kila chakula utaona ni kizuri.
Subiri ushibe ndipo ukatafute ftari ya kupika siku ingine.

Ukienda kutafuta chakula sokono wakati una njaa matokeo yake utaona kila chakula ni kizuri na kuanza kufakamia bills utaratibu wowote.

Ukijiona unataka mwenza na ikawa huoni pahala pa kupata ila mtandaoni basi jua una moyo wa kitoto, moyo wako hauchukulii uzito mahusiano.

Ikiwa moyo wako umeamini kwamba mtandaoni unaweza kuweka tangazo na ukampata mchumba bora kwa tangazo hilo,basi sioni ajabu moyo wako huo huo kuamini kwamba ulimpenda huyo binti.
 
mkuu nakuambia vipi, huyo dada hujampenda na wala humpendi. Hapo kinachofanyika ni uchu wako tu

Ajabu ya sisi wanadamu hatujui kwamba hapa tumependa au hapa tumetamani tu,
Bora useme ukweli
 
Nimekuelewa kiongozi
 
Ina hitaji uwe na guts za viwango vya Streglers gorge ...kuandika Bango kwamba unatafuta mchumba Mtandaoni ''duh! !!
 
Mimi mwenyewe nilipata mke na nilizoeana nae kupitia fb na ndo tulijuana huko

Lakini ilikuwa proccess ndefu sana, mpaka leo najipongeza kwa hatua ambazo nilichukua.
Ni hatua za kiume sana ambazo ni vigumu kwa mtu kuzichukuaa

Nimekuelewa kiongozi
 
Ina hitaji uwe na guts za viwango vya Streglers gorge ...kuandika Bango kwamba unatafuta mchumba Mtandaoni ''duh! !!
Ni utofauti wa mutazamo tu sisi tumechelewa sana kwenye kutumia technolojia, sishangai mtu anaeshangaa hili
 
Mzee baba hao wanao tumia hizo protocol ''tunasoma daily mitandaoni jinsi ambavyo ndoa zinavyo wapeleka mchaka mchaka na kuwa toa kamasi '''

Taifa kama la USA ndio linalo ongoza kwa kuwa na raia ambao ni single mother /father's moja wapo ya sababu zenyewe ni mambo hayo hayo '' Ya dating site. ...Halafu mwisho wa siku Wana mwagana '" ......sipingi kuhusu Suala la kuanzisha mahusiano na mtu ambaye mme kutana mitandaoni hata mimi ni muumini wa hilo --lakini sio mpaka kwa kufikia hatua ya kuandika Bango kuwa unatafuta mwenza ''

BTW == hizo ni opinion zangu 'kila mmoja ana amini kwenye mitazamo yake. ...Enjoy life mkuu
Ni utofauti wa mutazamo tu sisi tumechelewa sana kwenye kutumia technolojia, sishangai mtu anaeshangaa hili
 
Nawe enjoy pia mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…