Mrejesho, alidai hana hisia.

Afadhali ya kwako mm nilikuwaga na mmoja miaka kadhaa nyuma tuliwasiliana vizuri japo hatukuwah kuonana lakini hv visent vidogo vidogo nilimpa sana Tena sana hd rent ya nyumba alipata pale alipokwama yey hakuwa mvumilivu kwangu coz mm nilikuwa movement nying sana muda wa kumt ukawa mdogo ila nikamwambia usijar tutakuwa wote soon siku napiga simu anapokea kidumu jamaa akawa anakoroma nikamwambia broo relax akatukana sana ila kuja kumtrac akawa anapatikana sana local area nikaona mvimba macho tu yule bi mdada mpaka leo hii anapoligz sana ila nishamwambia it's too late!!!!

Broo Hawa wanawake wa humu kama unachapa chapa nenda usije ukautoa moyo wako kwa mtu ambae mmekutana mtandaoni itakucost sana kama hauna power fulani
 
Naomba ninong'oneze hivyo vitu minor
 
Umejuaje mkuu teh teh kweli sikutaka kwenda nayo japo sikufikiria kuhusu Ku show off
Ndio maana akakuona mvimba macho ila ungetokea nayo hayo makumbatio makiss balaaa ungepewa majina ambayo hata katika Bible na msahafu hayapo
 
Nimekusoma kiongozi nimegundua pia wengi wana stress za maisha na wanaishi maisha ya kuigiza zaidi
 
Kwa maana hiyo hiyo njia ni nzr kupata wa kuwa nae maishani ??
Ndio maana akakuona mvimba macho ila ungetokea nayo hayo makumbatio makiss balaaa ungepewa majina ambayo hata katika Bible na msahafu hayapo
 
Mapenzi ya kutafutana kwenye mtandao huwa yanachangamoto sana,kama hamjuani mtachati wee mkija kuonana sasa mnaanza kukimbiana,na hii inatokana na mwingine kuwa na mtazamo fulani.mfano alitegemea akutane na six pack labda akakutana na chaga,au alitegemea akutane na ng'ombe aliyenona akakutana na kibwengo etc.Sasa ili kunusuru hii hali,ni bora wapenzi wetu tuwatafute kule tunapoonana 'live'
 
Nimekusoma kiongozi nimegundua pia wengi wana stress za maisha na wanaishi maisha ya kuigiza zaidi
Ndio hvyo yaani ukiwaona humu utasema eeenh ila ukija onana nae utasema mhhh ukifuatilia unagundua shida nying huyo niliesema mpka sometime msos inabd nimuadress kwa shop aende chukua mazaga ya ndani karibu mwez mzima mana alikuwa yuko dar hapo hapo kwahyo alipta wasaa wa kuonana na dogo
 
Kama vipi mkuu khhhhhhaaaantweee?
 
mkuu nakuambia vipi, huyo dada hujampenda na wala humpendi. Hapo kinachofanyika ni uchu wako tu

Ajabu ya sisi wanadamu hatujui kwamba hapa tumependa au hapa tumetamani tu,
Nililikuwa hili , ila nikamwambia nisingeweza kutumia nguvu ya aina yeyote ili kuwa nae,! Anadai tuwe friends basi, sasa na mm nina hisia nae tyr itakuwaje. Alikwama
 
Imejifunza leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…