Mrejesho, alidai hana hisia.

Mabaharia tunasemaga mtt hajavutiwa na muonekano wako au tabia zako ni za ki nice guy sana akaona asijekukuumiza ukaja jinyonga

Kuna vile vipengele pendwa kwa dada zetu sasa kama utakuwa kuna vichache umekosa ndo hvyo umeombwa urafik
 
Mkuu ile ndinga yako uliiyacha home ukaenda na public transport ndio maana akasema hana hisia na wew kumbe kapiga teke fuko la muhasibu wa UN
 
Aisee kila la kheri kwake aisee
 
Haha Hapo ndio palipo mtia ukakasi. ..---wewe kwani umesahau kuwa kila member wa Jf ana gari. ...so alipo kuona unashuka kwenye dala dala akashangaa 'kwa sababu akili yake imesha lishwa matango pori ya kuwa kila member wa Jf ana gari
Umeongea mkuu niliwaza n nikasema au alivyoniona nimeshuka kwenye daladala akaona sio type yake nini? Teh teh teh nikasema isiwe kazi.
 
Mkuu ile ndinga yako uliiyacha home ukaenda na public transport ndio maana akasema hana hisia na wew kumbe kapiga teke fuko la muhasibu wa UN
Umejuaje mkuu teh teh kweli sikutaka kwenda nayo japo sikufikiria kuhusu Ku show off
 
Kwa kweli hata mimi -ni muumini wa auto ---
Sasa madereva wengi siku hizi wanataka auto yaan ukiminya wese basi ni mwendo tuuuu, ila nyie wa manue sasa ndo ivo kuzipangua hadi gia 12,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…