Jamaa yetu awe mpole tu, hahahaSisi wanawake huwa tunapenda taratibu, inawezekana alidhani atakupenda kadri mnavyoendelea lakini bahati mbaya ameshindwa....msamehe bure. Lakini pia anaweza kuwa na sababu nyingine hiyo ameifanya kama kisingizio tu, au kuna mambo yamemkwaza mlipokuwa mnachat watu wengine (nikiwemo mimi) huwa tunakerwa na vitu vidogo sana.
Sisi wanawake huwa tunapenda taratibu, inawezekana alidhani atakupenda kadri mnavyoendelea lakini bahati mbaya ameshindwa....msamehe bure. Lakini pia anaweza kuwa na sababu nyingine hiyo ameifanya kama kisingizio tu, au kuna mambo yamemkwaza mlipokuwa mnachat watu wengine (nikiwemo mimi) huwa tunakerwa na vitu vidogo sana.
Nililikuwa hili , ila nikamwambia nisingeweza kutumia nguvu ya aina yeyote ili kuwa nae,! Anadai tuwe friends basi, sasa na mm nina hisia nae tyr itakuwaje. Alikwama
Kama wewe vile unavopenda taratibu,,Ungeendelea kuwa nae kiurafiki labda badae angekupenda
Ndio,kama mimiKama wewe vile unavopenda taratibu,,
Sasa madereva wengi siku hizi wanataka auto yaan ukiminya wese basi ni mwendo tuuuu, ila nyie wa manue sasa ndo ivo kuzipangua hadi gia 12,Ndio,kama mimi